Demokrasia halisi ni kura ya individual to be counted. Hata huko USA sasa wana concern juu ya electoral college system.Mleta mada anadhani Kanda ya ziwa Ina wapiga kura wengi kuliko maeneo mengine so hofu yake itaamua Rais 2025.
Suluhisho akasema liwekwe kama US Ili kuzuia majimbo yenye wapiga kura wengi kuamua Mshindi yenyewe.
Kwa Tanzania ukishinda kwa simple majority hata kama kura zako umeshinda Dar na Mwanza pekee basi unatangazwa Rais.
So michango iwe based hapo
Mfumo wetu huu unaweza kuwa na shida lakini ndio halisi and purely democratic.
Hebu fikiria mwaka 2020 California ilikuwa na wapiga kura waliosajiliwa 22m. Tofauti ya kura 1 inatosha kuamua jimbo liense wapi. Sio fair