Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
HAPA KAZI TU IENDELEE.

Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.

Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko Belgium.

Sababu kubwa ni viongozi wa upinzani akiwemo Lissu mwenyewe kuingia 18 za Mama Samia na kujikuta wakiimba wimbo wa Madhabahu ya CCM.

Nyumbu wenzenu si watawapiga mawe mkirudi kuwaambia "Tumemsifu lakini Msimpe kura?"...KWANI WAO WAJINGA KIASI GANI?

Wapinzani wote sasa wanaitikia Beti na Chorus za Wimbo wa CCM kupitia Mwenyekiti wake Her. E.H. Mama Samia S. Hassan.
Mbowe anamsifia Mama.
Zitto anamsifia Mama.
Safari anamsifu Mama.
Lipumba anamsifu Mama.
Lema anamsifu
Msigwa anamsifia
Kigogo anamsifia
Heche anamsifia
Meya Jackob anadifi
Mdee anasifia
Bulaya anasifia
Nyalandu anasifia
Matiko anasifia
Wenje anasifia
Mwita anasifia
Newton anamsifia mama
Pambalu anasifia.
Sugu anasifiaaa...

Hai kwa Mbowe Nyumbu wanamsifia Mama
Arusha kwa lema, wanasifia.
Kwa Msigwa Iringa wanasifia
Mbeya kwa Sugu nyumbu wanaaifia...
Kigoma kwa Zitto nyumbu wanasifia...

Ni kipi hawa watawadanganya wapiga kura?
Imetoka Hiyo...Mama amezidisha ugumu wa kuitoa CCM madarakani..

Naam, sisi tuendelee na maandalizi ya Msibani Chato...#TwenzetuChato.
 
Lengo la mada labda kama ni kujaribu kizezeta zezeta kumfitini Mama dhidi ya upinzani.

Ieleweke hata jiwe kama ilivyo kwa mama angeweza:

1. Kuonyesha nia njema ya kuleta maridhiano.
2. Kuonyesha nia njema ya kutaka ripoti huru za CAG na kuyashughilikia madhwalimu.
3. Kuikataa dhuluma ya haki, mali na maisha ya watu kwa vitendo.
4. Kutoukumbatia ubaguzi wa wazi.
5. Kuwa na utu, huruma, subira, upole, unyenyekevu nk.
6. Angeukataa wizi, ubambikiziaji kesi nk.
7. Angekuwa msikivu.
8. Angeheshimu sayansi dhidi ya ushirikina.
8. Nk nk.

Mbona hata yeye angeungwa mkono tu?

Kwani bado hujui kwa nini mwendazake anaendelea kunangwa hadi leo?
 
Sisi hayo hatuyajui sisi tunachojua ni upinzani uchwara wa kitapeli na kijizi na kilaghai kuimba Iyena iyena ya CCM
mbowe mwizi mkubwa wa mali za Chama muongo na laghai likubwa na kusiasa kuwahi kutokea
 
sisi hayo hatuyajui sisi tunachojua ni upinzani uchwara wa kitapeli na kijizi na kilaghai kuimba Iyena iyena ya CCM
mbowe mwizi mkubwa wa mali za Chama muongo na laghai likubwa na kusiasa kuwahi kutokea

Kwenye hizo nyimbo katelefoni yumo? Je bashiri na chakubanga? Vipi mataga nao wamo?

Uzi huu unawahusu:

Ulitakiwa sasa kuweka na clip uliyo jirekodi UKIDEMKA 🕺 wakati unaandika huu ugoro wako.
 
Lini mtaanza kupiga debe/propaganda kuwa:
1.Mama ni shujaa.

2.Aongezewe muda atake asitake.

3.Mama katumwa na Mungu.

3.Mama ni chuma.

4.Mama atawale milele.

5.Kwa awamu zote tano hakuna aliefanya makubwa kama Mama.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nafasi ya kufanya hayo sasa hivi imechukuliwa na bavicha
 
Mama hayataki mapambio yeyote,kwani yalitutumbukiza shimo refu,ambalo sasa tunakazi kubwa ya kujiokoa na kufukia shimo hilo.
 
Na hapa ndio kila siku nasema Tanzania hakuna mpinzani wa CCM

Chama kinazidi kudumu
Acha kujidanganya kama sio hao wapazasauti aka wapinzani hata usingeweza kujua Watanzania wanahitaji nini,hataukaweza kuona kukubalika kwa hao kijani unaowaongelea.
 
Kwa tume huru?

Fanya hivi. Tengeneza polls hapa JF muweke samia wako afu usimuweke Lisu wek kondoo au hata kuku.

Njoo kesho uoneuone polls yako-
 
hivi hiyo kazi inayoendelea ni ipi ..kila siku kazi iendelee ..kila kitu kimesimama nchi haina mwelekeo wowote
 
Acha kujidanganya kama sio hao wapazasauti aka wapinzani hata usingeweza kujua Watanzania wanahitaji nini,hataukaweza kuona kukubalika kwa hao kijani unaowaongelea.
Sasa umeandika nini🙄🙄
Wapinzani wepi hao labda unaowaongelea😉😉
Ni wale Wa ubelgiji au wa kigoma kigoma wasiotaka watoto wetu wapate elimu😆😆😆
 
Back
Top Bottom