Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

fal
Huwa najadiliana na watu wenye akili timamu.

Sijawahi kuwa mfuasi wa mtu na sitakuwa. Wenye akili ndigo ndio mnaofikiria kuwa wafuasi wa watu lakini wenye akili nzuri tunakuwa wafuasi wa falsafa na siyo mtu.
hamna wewe ungekuwa mwanafunzi wangu wa mwaka wa kwanza ningekufelisha tu kwa ujinga huu hatuwezi kuwa na taifa la vijana wezi na matapeli kama wewe
 
Ccm 2025 itashinda kwa kishindo maana kinafanya kazi inayokubalika na wapinzani wote,

Mi 10 tena kwa Samia
 
Upinzani siyo vita bro. Upinzani ni kutoa mawazobadala lenye lengo la kujenga nchi na kuonyesha makosa ya serikali. Ka ukionye shaakosa makosa yakafanyiwa kazi basi kuna shida gani?
 
sisi hayo hatuyajui sisi tunachojua ni upinzani uchwara wa kitapeli na kijizi na kilaghai kuimba Iyena iyena ya CCM
mbowe mwizi mkubwa wa mali za Chama muongo na laghai likubwa na kusiasa kuwahi kutokea
Hiyo naipa tafsiri kuwa unamsifu in disguise ni Mbowe aliyedhihirika kuwa ni mpinzani imara kupata kutokea ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki ambako mfumo wa kimabavu umetamalaki. Pamoja na kuumizwa kimwili na kiuchumi lakini hajayumba sisi wengi tulinyamaza kimya wakati uonevu wa wazi ulipokuwa unatendeka. Namuomba sana Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA kwamba wao ndio tegemeo la pekee la kuleta Demokrasia angalau tufikie kiwango cha Kenya.
 
HAPA KAZI TU IENDELEE.

Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.

Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko Belgium.

Sababu kubwa ni viongozi wa upinzani akiwemo Lissu mwenyewe kuingia 18 za Mama Samia na kujikuta wakiimba wimbo wa Madhabahu ya CCM.

Nyumbu wenzenu si watawapiga mawe mkirudi kuwaambia "Tumemsifu lakini Msimpe kura?"...KWANI WAO WAJINGA KIASI GANI?

Wapinzani wote sasa wanaitikia Beti na Chorus za Wimbo wa CCM kupitia Mwenyekiti wake Her. E.H. Mama Samia S. Hassan.
Mbowe anamsifia Mama.
Zitto anamsifia Mama.
Safari anamsifu Mama.
Lipumba anamsifu Mama.
Lema anamsifu
Msigwa anamsifia
Kigogo anamsifia
Heche anamsifia
Meya Jackob anadifi
Mdee anasifia
Bulaya anasifia
Nyalandu anasifia
Matiko anasifia
Wenje anasifia
Mwita anasifia
Newton anamsifia mama
Pambalu anasifia.
Sugu anasifiaaa...

Hai kwa Mbowe Nyumbu wanamsifia Mama
Arusha kwa lema, wanasifia.
Kwa Msigwa Iringa wanasifia
Mbeya kwa Sugu nyumbu wanaaifia...
Kigoma kwa Zitto nyumbu wanasifia...

Ni kipi hawa watawadanganya wapiga kura?
Imetoka Hiyo...Mama amezidisha ugumu wa kuitoa CCM madarakani..

Naam, sisi tuendelee na maandalizi ya Msibani Chato...#TwenzetuChato.
Wapinzani mimi nawaelewa sana, wanamsifu mama ili alainike na alegeze baadhi ya mambo kwa manufaa yao.
Ni kuwa nao makini sana kuna jambo wanalitafuta na wakilipata utaona watakavyobadilika.
 
HAPA KAZI TU IENDELEE.

Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.

Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko Belgium.

Sababu kubwa ni viongozi wa upinzani akiwemo Lissu mwenyewe kuingia 18 za Mama Samia na kujikuta wakiimba wimbo wa Madhabahu ya CCM.

Nyumbu wenzenu si watawapiga mawe mkirudi kuwaambia "Tumemsifu lakini Msimpe kura?"...KWANI WAO WAJINGA KIASI GANI?

Wapinzani wote sasa wanaitikia Beti na Chorus za Wimbo wa CCM kupitia Mwenyekiti wake Her. E.H. Mama Samia S. Hassan.
Mbowe anamsifia Mama.
Zitto anamsifia Mama.
Safari anamsifu Mama.
Lipumba anamsifu Mama.
Lema anamsifu
Msigwa anamsifia
Kigogo anamsifia
Heche anamsifia
Meya Jackob anadifi
Mdee anasifia
Bulaya anasifia
Nyalandu anasifia
Matiko anasifia
Wenje anasifia
Mwita anasifia
Newton anamsifia mama
Pambalu anasifia.
Sugu anasifiaaa...

Hai kwa Mbowe Nyumbu wanamsifia Mama
Arusha kwa lema, wanasifia.
Kwa Msigwa Iringa wanasifia
Mbeya kwa Sugu nyumbu wanaaifia...
Kigoma kwa Zitto nyumbu wanasifia...

Ni kipi hawa watawadanganya wapiga kura?
Imetoka Hiyo...Mama amezidisha ugumu wa kuitoa CCM madarakani..

Naam, sisi tuendelee na maandalizi ya Msibani Chato...#TwenzetuChato.
Hujui siasa wewe..... Upinzani unafurahi kuona Mama Samia ana discredit mengi ambayo JPM alifanya. Hivyo wao kumshabikia ni katika kucapitalise fursa ya kuzika cheap popularity ya JPM.

Sasa vumbi likishatulia ikifika hata mwakani tu madhaifu ya mama yatakuwa exposed (Bunge na mahakama, Halmashauri n.k) so hapo ni mwendo wa kuyaeleza hayo mapungufu ya CCM kwenye kila mhimili so hadi kufika 2025 uwanja unakua wazi kabisa.

So kikubwa ni kummaliza common enemy then maslahi yenu yanakuja baadae
 
HAPA KAZI TU IENDELEE.

Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.

Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko Belgium.

Sababu kubwa ni viongozi wa upinzani akiwemo Lissu mwenyewe kuingia 18 za Mama Samia na kujikuta wakiimba wimbo wa Madhabahu ya CCM.

Nyumbu wenzenu si watawapiga mawe mkirudi kuwaambia "Tumemsifu lakini Msimpe kura?"...KWANI WAO WAJINGA KIASI GANI?

Wapinzani wote sasa wanaitikia Beti na Chorus za Wimbo wa CCM kupitia Mwenyekiti wake Her. E.H. Mama Samia S. Hassan.
Mbowe anamsifia Mama.
Zitto anamsifia Mama.
Safari anamsifu Mama.
Lipumba anamsifu Mama.
Lema anamsifu
Msigwa anamsifia
Kigogo anamsifia
Heche anamsifia
Meya Jackob anadifi
Mdee anasifia
Bulaya anasifia
Nyalandu anasifia
Matiko anasifia
Wenje anasifia
Mwita anasifia
Newton anamsifia mama
Pambalu anasifia.
Sugu anasifiaaa...

Hai kwa Mbowe Nyumbu wanamsifia Mama
Arusha kwa lema, wanasifia.
Kwa Msigwa Iringa wanasifia
Mbeya kwa Sugu nyumbu wanaaifia...
Kigoma kwa Zitto nyumbu wanasifia...

Ni kipi hawa watawadanganya wapiga kura?
Imetoka Hiyo...Mama amezidisha ugumu wa kuitoa CCM madarakani..

Naam, sisi tuendelee na maandalizi ya Msibani Chato...#TwenzetuChato.
Wamechoka kufikiri hao
 
Ukimlinganisha na Mwendazake; walau kwa mama taifa linapumua !! Mwendazake aliongoza nchi kama anavyoogoza mji wake pale Chato!! Serikali, Bunge na Mahakana vyote kwa pamoja vili-riport kwake kwa unyenyekevu mkubwa., Sheria na katiba ziliwekwa uvunguni na kauli zake ndizo zikawa sheria za nchi. Wapinzani wakageuka ni wahaini wasiostahili kuishi.

Kwa sasa wanaofurahia zaidi safari ya kudumu ya Mwendazake ni makada wa CCM-msoga - ambayo muda mwingi walikuwa benchi wakila kwa macho lakini sasa wanarudi kundini kwa kishindo kikuu - huku wale wenzao nao wakianza kula kwa macho - Kutesa ni kwa zamu zamu.

Changamoto ni wale walionunuliwa toka upinzani ukiwajumlisha na wale covid 19 - hao nao kwa sasa hawajui hatma yao ndani ya CCM - wanaishi kama digidigi mwituni.
 
Huku uraiani wanakwambia miaka minne si mingi itaisha tu
 
Ishu sio cdm, cuf, ccm kuwa madarakani
Ishu ni kutenda au kuonekana anatenda haki....na hapa mama Samia kafaulu
Ndio maana ccm magufuli mnakwazika na mama kwani kwenu haki Ni msamiati msioutaka.
Yes Samia Ni ccm na atawale hata maisha...kuliko yule machenical thinker the covid denial president who died for the better
 
HAPA KAZI TU IENDELEE.

Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.

Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko Belgium.

Sababu kubwa ni viongozi wa upinzani akiwemo Lissu mwenyewe kuingia 18 za Mama Samia na kujikuta wakiimba wimbo wa Madhabahu ya CCM.

Nyumbu wenzenu si watawapiga mawe mkirudi kuwaambia "Tumemsifu lakini Msimpe kura?"...KWANI WAO WAJINGA KIASI GANI?

Wapinzani wote sasa wanaitikia Beti na Chorus za Wimbo wa CCM kupitia Mwenyekiti wake Her. E.H. Mama Samia S. Hassan.
Mbowe anamsifia Mama.
Zitto anamsifia Mama.
Safari anamsifu Mama.
Lipumba anamsifu Mama.
Lema anamsifu
Msigwa anamsifia
Kigogo anamsifia
Heche anamsifia
Meya Jackob anadifi
Mdee anasifia
Bulaya anasifia
Nyalandu anasifia
Matiko anasifia
Wenje anasifia
Mwita anasifia
Newton anamsifia mama
Pambalu anasifia.
Sugu anasifiaaa...

Hai kwa Mbowe Nyumbu wanamsifia Mama
Arusha kwa lema, wanasifia.
Kwa Msigwa Iringa wanasifia
Mbeya kwa Sugu nyumbu wanaaifia...
Kigoma kwa Zitto nyumbu wanasifia...

Ni kipi hawa watawadanganya wapiga kura?
Imetoka Hiyo...Mama amezidisha ugumu wa kuitoa CCM madarakani..

Naam, sisi tuendelee na maandalizi ya Msibani Chato...#TwenzetuChato.
wewe jidanganye hivyo hivyo ninani mwenye hamu na ccm. ccm ni mbonga iliyochacha
 
hivi hiyo kazi inayoendelea ni ipi ..kila siku kazi iendelee ..kila kitu kimesimama nchi haina mwelekeo wowote
Hakuna Kazi inaweza kuendelea bila maono. Kazi inaendelea kuelekea wapi? Na akina nani wanaiendeleza hiyo Kazi? Ni watanxania anaowajenga kuwa wategemezi wa misaada mpaka ya Chanjo ili mradi tu watu waweze kwenda kuhiji Makka.
 
Back
Top Bottom