Umesahau na Sukuma Gang,Kuna Pro-Magufuli ndio upinzani wenyewe
Mwendazake alinunua wapinzani kwa fedha na hongo ya vyeo. Jweli aliamini kuwa ni viongozi uchwara? Mbowe alikataa tu kufikia bei, lakini walitamani sana kumnunua!sisi hayo hatuyajui sisi tunachojua ni upinzani uchwara wa kitapeli na kijizi na kilaghai kuimba Iyena iyena ya CCM
mbowe mwizi mkubwa wa mali za Chama muongo na laghai likubwa na kusiasa kuwahi kutokea
Kwa mtazamo ni aina ya wale wamapambio wa enzo ile katika harakati za kuwinda teuzi ,kupitia njia mkato wa kufukuzia teuzi,bahati mbaya kama ulijaribu toka wakati hip ukakwama,wakati huu sahau hasaa.Sasa umeandika nini🙄🙄
Wapinzani wepi hao labda unaowaongelea😉😉
Ni wale Wa ubelgiji au wa kigoma kigoma wasiotaka watoto wetu wapate elimu😆😆😆
Ndiyo maana hata Deni la Taifa liliongezeka kwa kasi!Mwendazake alinunua wapinzani kwa fedha na hongo ya vyeo. Jweli aliamini kuwa ni viongozi uchwara? Mbowe alikataa tu kufikia bei, lakini walitamani sana kumnunua!
Huyo anamatamanio kuona mambo yanaenda sawa,hivyo anajaribu kusema wapi hapaendi sawa,vinginevyo unaweza kusema ni mzalendo wa kweli na sii mzalendo maslahi.Kwani, Kwanini mtu anaamua kuwa mpinzani?
Kwa mtazamo ni aina ya wale wamapambio wa enzo ile katika harakati za kuwinda teuzi ,kupitia njia mkato wa kufukuzia teuzi,bahati mbaya kama ulijaribu toka wakati hip ukakwama,wakati huu sahau hasaa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu nafasi ya kufanya hayo sasa hivi imechukuliwa na bavicha
weewe unaweza kuwa una sifa zifuatazo kama sio tapeli basi ni jambazi kama sio jambazi basi unalelelewa na hawara kama haulelewi na hawara una upungufu wa dopamine maana mtu akipungukiwa dopamine huwa ni mjinga ambaye huwa hajui anasimamia nn upinzani uongozwe na DJ mwenye makengeza mtu aliyefeli kila kitu anatapeli hela za Chama za familia anakitumia Chama kuhonga huyu hata wafuasi wake ni wajinga wajinga kama wewe jiulize Chama kinaongoza na kilaza mnywa konyagiLazima una uwendawazimu fulani. Hili ni jukwaa la watu wenye akili timamu. Wanajadili hoja. Syo mahali pa wajinga kuleta vioja.
President Samia is doing a great job for our nation. She is bringing back our nation's integrity after Magufuli dictatorial rule.which tormented our nation.
Muhimu siyo CCM au vyama vya upinzani, bali ongozi mzuri, wenye maono na hekima. CCM ilikuwepo wakati wa marehemu lakini haikuweza kumzuia marehemu kutenda maovu ya ajabu na ya kutisha.
Huwa najadiliana na watu wenye akili timamu.weewe unaweza kuwa una sifa zifuatazo kama sio tapeli basi ni jambazi kama sio jambazi basi unalelelewa na hawara kama haulelewi na hawara una upungufu wa dopamine maana mtu akipungukiwa dopamine huwa ni mjinga ambaye huwa hajui anasimamia nn upinzani uongozwe na DJ mwenye makengeza mtu aliyefeli kila kitu anatapeli hela za Chama za familia anakitumia Chama kuhonga huyu hata wafuasi wake ni wajinga wajinga kama wewe jiulize Chama kinaongoza na kilaza mnywa konyagi