Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

siwezi kubishana sana na wewe. Tusubiri matokeo ya November 2024. Tutarudi hapa, usikimbie
 
Ujio wa Kamala umekuwa kama ngumi ya ghafla kwa Trump na Republicans iliyowapeleka chini, hawakutegemea kabisa.

Baada ya lile shambulio la risasi Trump alionekana kuwa clear favourite, lakini ujio wa Kamala ghafla umemgeuza Trump kuwa clear loser.
kuna kamsemo kanasema adui yako ni adui wa adui wako ,ukifika hapo patana na huyo adui wa adui,IRAN haimtak Trump ,na US pia hawamtaki,ndio maana sasa hivi US na Iran wako pamoja kuhakikisha huyu kibaraka wa Putin hashind
 
Walau wewe unazungumza sense, huyu mtoa mada analeta ushabiki.
 
Sawa, akipigwa huyo maza ako tutakuja kufukua kaburi.
 
Mwaka-Trump hana tofauti na Magufuli kabisa,

Trump kila akisimama ni kusema Marekani imechezewa na inachezewa, sasa watu wa Tanganyika wao makofi tu, wazungu hawapo hivo

Mitume na manabii wanaotanganza ushind kwa Trump wataficha wapi uuso
Mmh Kuna mtume yyt katangaza hivyo?
Nani huyo nikamsikie?

Naowafuatilia Mimi hakuna ht 1 katangaza Trump atashinda
 
Wahamiaji wepi hao?
Maana Kuna waliohamia Kwa njia sahihi tu
Ht hivyo ningekuwa napiga kura ningempigia Trump 🤣
 
Kwa wapenda amani duniani Kamala anachaguliwa kuwa Rais.
D. Trump ni mtu mbaya sana hafai kwa jamii ya watu waliostarabika
 
Je Wazee wa Marekani wenye nchi yao wako tayari kuongozwa na Mwanamke?
Kati ya Kamala Harris na Hillary Clinton yupi Mwenye nguvu na ushawishi kumzidi mwenzie?
 
Mkuu umekula propaganda za fake news media nawe unatulisha hapa kwa raha zako...... Trump hakuwa convict wala hakuwa na felony yoyote mwaka 2016. Wahuni wa US ndo wamemfungulia makesi ili kumzuia asishiriki uchaguzi, wamemuondoa kwenye karatasi za kura baadhi ya majimbo ya madems karudishwa na SCOTUS.... wamejaribu kumuua Mungu kamnusuru.
Anashinda uchaguzi. Madikteta ni hao wanaopitisha mgombea urais bila kumshindanisha
 
Trump alipokuwa Rais miaka 4 yote hakuna vita mpya iliyoanzishwa. Mnalishwa matango pori wakati mnashinda mtandaoni aisee?
Kamala atakuwa puppet wa deep state
Maisha ya wananchi wa usa yalikuwa mabaya sana kipindi cha Trump kiongozi.

Ukubali ukatae hakuna mtu mwenye akili timamu akamchagua Trump. Ni vile kwenye siasa huwezi kupata mtu sahihi. Ila akili ya trump hapna aisee bora huyo mumama japo naye anamapungufu yake
 
Kwa kawaida sijibu upuuzi kama huu wako lakini nakuomba kama utakuwa na muda ufuatilie yanayojiri kwenye Convention mjini Chicago.

Hilo la kwanza, la pili subiri yatakayofuata siku kampeni rasmi inazinduliwa baada ya Kamala kuteuliwa rasmi siku ya Ijumaa.

Kwa muda mfupi nimefuatilia machapisho yako ya karibuni humu ndani na ghafla nimejikuta nakuhurumia na nakusikitikia sana tu!

Naihurumia nchi yangu Tanzania na nafadhaika na kuumia kweli moyoni kwamba watu kama ninyi mmetamalaki ndani ya taifa letu!

Katika miaka mia mbili ajira mpya 51,000,000 zilianzishwa nchini Marekani na kati ya hizo 50,000,000 zilianzishwa na Democrats...nakutakia siku njema.

Dakika hii Oprah Winfrey anaongea, ngoja nimsikilze! Americans are not going back, In 75 days Trump, the enigma, will disappear!
 
Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengi
Hivi mnaposema kukemea ushoga mnakuwa na taarifa sahihi au mnaandika tu!? Marekani ushoga unalindwa na sheria na mashoga na supporters wao ndo wameshika hizo kura za urais so hilo ni eneo ambalo hakuna mwenye uwezo wa kuligusa. Tuache ushabiki wa kahawa.
 
Kwani wewe ni shoga? Mbona unatumia nguvu nyingi kutetea? Soma hapa kauli yake ya jana

Endelea na ushoga wenu ila mwenyewe amesema jeshini atawatoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…