Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa.
Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo.
Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia ukomo, na kuna kila dalili kwamba hakuna atakae kubali mchakato wa uchaguzi uhujumiwe na wala hayupo alie tayari kukubali matokeo yasiyompendeza au yasiyo ya upande wake.
Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, inaweza kua chanzo cha fujo ndani ya ukumbi wa uchaguzi. Njaa na kiu ni kali, kesho yao haina uhakika na wala haujulikani.
Ngumi kavukavu na mateke vitashuhudiwa, tuhuma za rushwa zitasababisha viti kurushwa na meza kupinduliwa, huku vifaa vya uchaguzi viharibuliwa vibaya.
Vyombo vya ulinzi na usalama vitatuliza hali ya mambo na kuwatawanya wajumbe wasiendele kufanya fujo ukumbini na kuhatarisha amani kwa wasio husika na uchaguzi.
Uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa utafutwa na kuahirishwa, hadi wakati mwingine. Hali hiyo itazidisha uhasama zaidi na huenda pakawepo magharibi ya mapinduzi ya uongozi wa chadema 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.