Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wapo? 😬😬😬😬Hizo ndio habari za hivi punde zikisema makamishna wa uchaguzi mkuu wa Kenya wamegawanyika huku wakidai kuna mambo wasiyokubaliana nayo na hivyo hawako tayari kutangaza mshindi wa kiti cha urais wa Kenya.
KubwaIna maana kuna tuhuma.
Survival of the fittest... Afrika ina ushenzi mwingi sana linapokuja suala la uchaguzi mkuu.
... tatizo ni kuwa na matokeo ya mfukoni badala ya kutangaza kile wapiga kura wameamua. Very sad indeed!Nadhani Tume ndio itasababisha vurugu.
How do you know?... tatizo ni kuwa na matokeo ya mfukoni badala ya kutangaza kile wapiga kura wameamua. Very sad indeed!
Hakika.... Tume wameshindwa kumaliza jambo hiliNadhani Tume ndio itasababisha vurugu.
... kama ndivyo, why kuidanganya dunia kwa usanii wa demokrasia wakati mawazo yetu yako mbali kabisa na hiyo demokrasia tunayojidai kuihubiri kinafiki ila hatutaki kwa makusudi kuiishi? Bure kabisa!Survival of the fittest