Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imethibitishwa mh Ruto ndiyo rais mpya wa kenya.Tetesi: Kwamba William Ruto ameshinda uchaguzi lakini wafuasi wa Odinga hawataki kukubali matokeo.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amejitoa katika kutangaza matokeo...
Which act?IEBC Commissioners Have Spit into Two Camps:
Juliana Cherera
Francis Wanderi
Justus Nyang’aya
Irene Masit
Have disowned the results to be announced by:
Wafula Chebukati
Abdi Yakub Guliye
Boya Molu
Under IEBC Act, decisions are by majority. Minority decision is void.
Thanks ,Kenya's,thanks IEBC, THANS UHURU, MZEE WA TAIFA LA KENYA SASA , narudi jukwaa la siasa jf wapo waliosema Ruto hawezi KUWA rais , nipambane nao KWa hoja,Sasa Uhuru sio Mjinga nasema tenaIEBC Commissioners Have Spit into Two Camps:
Juliana Cherera
Francis Wanderi
Justus Nyang’aya
Irene Masit
Have disowned the results to be announced by:
Wafula Chebukati
Abdi Yakub Guliye
Boya Molu
Under IEBC Act, decisions are by majority. Minority decision is void.
Sababu aliyoeleza Juliana Cherera kwa ajili ya kutoyatambua matokeo ni OPAQUENESS. Kuna wakati walitaka ku-acess sensitive data ili ku-share na watu wake huko nje (mbali na maafisa wa IEBC), ambapo wao hawaruhusiwi hadi chairperson atangaze.Kuna kitu nimejifunza hapa tume huru kwa nchi zetu haifai kabisa
Kwa mfano tukiwa na tume huru labda mwenyekiti atakuwa Aduraham Kunana CCM alafu makamu mwenyekiti atakuwa John mnyika CDM
Katika harakati za uchaguzi hapo wanaweza kutofautiana kila mmoja akatangaza kivyake ndicho kunachotekea Kenya kwa sasa
Sitaki tena kusikia habari za tume huru
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Uzuri Ruto mwenyewe ni mafia wa hayo mambo... wampe haki yake! Huu ujinga wa kujaribu kupindua matokeo halali ni janga Afrika.
kumridhisha raila waende mahakamaniMakamishana 4 kwa 2
Obviously. Na waliingizwa just recently (si muda mrefu), kwa lengo maalum. Sasa Wafula Chebukati, gwiji wa seva, alijua namna ya kucheza vyema na hisia zao.Hao waliopinga ni wafuasi wa Odinga
How? Mbona kasema mwenyewe I have been literally prayed into victory.Uzuri Ruto mwenyewe ni mafia wa hayo mambo
Naam, mkuu. Sasa ni muda mwafaka wa wakili James Orengo kula pesa za Raila na kubeba sifa za Wakenya ambao wangali wakitazamia drama za politics.kumridhisha raila waende mahakamani
Hivi kuna sensitive data zipi zaidi ya yale matokeo ya vituoni ambayo yote yaliwekwa online na yalionyesha Ruto kashinda tangia tarehe 10?Sababu aliyoeleza Juliana Cherera kwa ajili ya kutoyatambua matokeo ni OPAQUENESS. Kuna wakati walitaka ku-acess sensitive data ili ku-share na watu wake huko nje (mbali na maafisa wa IEBC), ambapo wao hawaruhusiwi hadi chairperson atangaze.
Walipopigwa stop, huku wakipata pressure ya Team-Raila, wakaondoka (kwa kutoroka) hadi Serena Hotel ili kukana matokeo.
But the only point yao ni OPAQUENESS--it means kuna data hawakuruhusiwa kuiona kama maafisa wa IEBC.
Nilitegemea waseme kwamba matokeo si halali, wao wamedai tu kwamba hawakuruhusiwa kuona matokeo hayo.
Updates zingine kesho. Hapa naelekea kupokea posho yangu. Then ntalala kidogo.
Congratulations WSR and your best friend ever Uhuru Kenyatta!