Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demokrasia haina ukweli 100% my dear... kama ndivyo, why kuidanganya dunia kwa usanii wa demokrasia wakati mawazo yetu yako mbali kabisa na hiyo demokrasia tunayojidai kuihubiri kinafiki ila hatutaki kwa makusudi kuiishi? Bure kabisa!
... wampe haki yake! Huu ujinga wa kujaribu kupindua matokeo halali ni janga Afrika.definetely ruto kashinda......
I think Ruto and Uhuru had never actually separated, they might have been just playing politics all along...Wanataka kumpa Ruto...
Mkuu ulishiriki zoezi la kuhesabia kura??definetely ruto kashinda......
Uyo ikitokea la kutokea ICC inamuhusu,unaweza tumikishwa kesho ukawa peke YAKO Kama kifaranga kitotolewachwoWakati mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya anajiandaa kutoa statement ya matokeo na mshindi wa Urais.
Makamu mwenyekiti wa Tume muda huu hayupo Bomas, anatoa statement yake kwa umma ktk Hotel ya Serena. Wanajitoa katika matokeo yanayotangazwa. Ameambatana na makamishna watatu wa Tume.
Wakati huu Bomas kuna vurugu ndani ya ukumbi eneo la hightable
Tuendelee kuwaombea wasiingie kwenye mpasuko
Wamegoma kuyatambua matokeo.
Hao ni makamu mwenyekiti wa tume na makamishna wanne
Naomba wataalam wa sheria za Kenya waje kutufafanulia hapa kama Mwenyekiti wa Tume Bw. Wafula Chibukati akitangaza matokro yatakuwa halali kwa usahihi wake.
Ikumbukwe amesalia na makamishna wawili huku yeye akiwa wa tatu ilhali Naibu Mwenyekiti Juliana na makamishna wenzake watatu wanakuwa jumla ya wanne.
View attachment 2324634
Good .usaliti ni mbaya sana. Uhuru alimsaliti Ruto... wampe haki yake! Huu ujinga wa kujaribu kupindua matokeo halali ni janga Afrika.
Tetesi: Kwamba William Ruto ameshinda uchaguzi lakini wafuasi wa Odinga hawataki kukubali matokeo.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amejitoa katika kutangaza matokeo...
Ruto ametangazwa kua raisi mteule ruto anahutubia nowKENYA: TUME YA UCHAGUZI YAGAWANYIKA MATOKEO YA URAIS
Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera amesema yeye na wenzake hawaungi mkono matokeo ya Urais ambayo yanatarajiwa kutangazwa leo Agosti 15...