Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

Kenya 2022 General Election
... kama ndivyo, why kuidanganya dunia kwa usanii wa demokrasia wakati mawazo yetu yako mbali kabisa na hiyo demokrasia tunayojidai kuihubiri kinafiki ila hatutaki kwa makusudi kuiishi? Bure kabisa!
Demokrasia haina ukweli 100% my dear
 
... wampe haki yake! Huu ujinga wa kujaribu kupindua matokeo halali ni janga Afrika.
Mwenyekiti wa uchaguzi ameingia na kukaa karibu na Ruto.
 
Makamishna wawili waliokuwa ukumbini waripotiwa kuumizwa kwenye vurugu zilizotokea Bomas
 
William Ruto ndiye rais mteule wa Jamhuri ya Kenya.
 
Uyo ikitokea la kutokea ICC inamuhusu,unaweza tumikishwa kesho ukawa peke YAKO Kama kifaranga kitotolewachwo
 
Mungu awavushe kipindi hiki muhimu na kigumu kwao.
 
Odinga akacheze na wajukuu sasa. Kenya imeamua
 
Kuna kitu nimejifunza hapa tume huru kwa nchi zetu haifai kabisa

Kwa mfano tukiwa na tume huru labda mwenyekiti atakuwa Aduraham Kunana CCM alafu makamu mwenyekiti atakuwa John mnyika CDM

Katika harakati za uchaguzi hapo wanaweza kutofautiana kila mmoja akatangaza kivyake ndicho kunachotekea Kenya kwa sasa

Sitaki tena kusikia habari za tume huru

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tetesi: Kwamba William Ruto ameshinda uchaguzi lakini wafuasi wa Odinga hawataki kukubali matokeo.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amejitoa katika kutangaza matokeo...

KENYA: TUME YA UCHAGUZI YAGAWANYIKA MATOKEO YA URAIS

Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera amesema yeye na wenzake hawaungi mkono matokeo ya Urais ambayo yanatarajiwa kutangazwa leo Agosti 15, 2022

Amesema "Hatutambui matokeo ambayo wanatarajiwa kutangaza leo kutokana na kukosekana kwa uwazi katika zoezi la Uchaguzi Mkuu"

#KenyaDecides2022 #Democracy #Kenya2022
 
KENYA: TUME YA UCHAGUZI YAGAWANYIKA MATOKEO YA URAIS

Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera amesema yeye na wenzake hawaungi mkono matokeo ya Urais ambayo yanatarajiwa kutangazwa leo Agosti 15...
Ruto ametangazwa kua raisi mteule ruto anahutubia now

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…