Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Mwizi mzoefu fambaf zakeKazi iliompeleka Jakaya imeanza
Wajaluo wataingia mtaani.🤣...Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Kwakua umejibu kishabiki ni wazi umeamua kutotaka kujua ukweli wa kilichotokea na kinachoendelea mpaka sasa. Basi tusubiri matokeo siku ya jumatatu au jumanne.Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Nani alikudanganya kwamba Demokrasia ni kitu rahisi hivyo ?Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
Wabongo bwana,tunajua kupangia majirani lakini ukija uchaguzi wetu sasa,tunabaki kuwa keyboard worriers.Mgombea wa Kenyatta kashindwa!
Kenyatta is buying time trying to coock some new results.
Otherwise, angeshinda mgombea wa Kenyatta, matokeo rasmi yangekwisha tangazwa.
Kenyatta is playing a dangerous game. Ajiandae kwenda The Hague kwa mara ya pili.
Otherwise amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Kama wewe ni Mkenya tuambie Rais ni nani??IEBC wanazo siku saba za kutangaza mshindi wa kura za urais, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010. Wanachofanya ni kuhakikisha kila kitu kinafanywa kwa umakini mkubwa na kwamba process zote za kisheria zinafatwa. Ili kuzuia kilichowasibu uchaguzi wa 2017, ambapo matokeo ya kura za urais yalibatilishwa na mahakama. Kila kitu kipo wazi kwenye portal ya IEBC na tayari wakenya wanajua rais ajaye ni nani. Kinachosubiriwa tu ni tume hiyo kutangaza rasmi.
Mimi ni mkenya, kama upo karibu na tv yako cheki KTN au ingia kwenye website yao. Tume ya uchaguzi tu ndio imekubaliwa kisheria kutangaza mshindi, naamini kwamba watafanya hivyo leo hii.Kama wewe ni Mkenya tuambie Rais ni nani??
Ulipoandika kila mkenya anafahamu Rais ni nani ulikua unamaanisha nini??Mimi ni mkenya, kama upo karibu na tv yako cheki KTN au ingia kwenye website yao.
Hivyo hivyo nilivoandika, its a Kenyan affair na huu ni uchaguzi sio zile ligi zenu za Simba na Yanga. Punguzeni ushabik.Ulipoandika kila mkenya anafahamu Rais ni nani ulikua unamaanisha nini??
Kumbe hujui lolote aisee si ukae kimya tu tusubirie kutangazwa mshindi.Hivyo hivyo nilivoandika, its a Kenyan affair na huu ni uchaguzi sio zile ligi za Simba na Yanga. Punguzeni ushabik.
Ok.Kumbe hujui lolote aisee si ukae kimya tu tusubirie kutangazwa mshindi.