Acha kujichekesha chekesha, kalia kwanza hapo usikilizieHadi hapo nimeshakupiga na kitu kizito kichwani[emoji1787], ulitaka kuleta upumbavu wako wa kuzuia unayempenda wewe asisemwe alafu unayemchukia ndio asemwe. NEVER hii ndio JF, pole sana
Juzi niliona kile kicheko chake kwenye Press....Nakazia
Nilimuona alipokuwa na yule mgombea wa wavutaji, yaani kasimama na mguu kainua kidogo kisigino kama zarithebosslady, nikasema ooohoooJuzi niliona kile kicheko chake kwenye Press....
Nikasema Doh....
[emoji38][emoji38]Nilimuona alipokuwa na yule mgombea wa wavutaji, yaani kasimama na mguu kainua kidogo kisigino kama zarithebosslady, nikasema ooohooo
Nimefanikiwa kukudhibiti kuleta upumbavu wako. Mengine kaa nayoAcha kujichekesha chekesha, kalia kwanza hapo usikilizie
Panua kwanza usikisikilizie utamu,Nimefanikiwa kukudhibiti kuleta upumbavu wako. Mengine kaa nayo
Mahakamani kuna kesi ya Gachagua, so hata wakishinda kuna kesi ya zuio la wao kuapishwa mpaka mahakama ikazie hukumu dhidi ya Gachagua.Hata ningekuwa mimi nisingempa!
-Ruto ni jeuri na kiburi
-Ruto hajui diplomacy
-Ruto ana kisasi
Kwa nchi ya Kenya na historia yake jinsi ilivyo mtu wa namna hiyo kwa amani ndani ya nchi ni hatari. Hatujui mbele itakuwaje ila kwa mwenendo wake hayo ya juu yamedhihirika.
Hata Kama ni maamuzi ya raia lakini wenye mamlaka wanaangalia usalama wa nchi.
Umeulizwa wewe Erythrocyte jibuSi mlisema Kenya ni nchi ya kuigwa ktk demokrasi? Kiko wapi
Let me prove myself[emoji38][emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji16]we jamaa wewe...bado jecha tu hapoo pakamilikeKazi iliompeleka Jakaya imeanza
MUHUNI WA KIMATAIFA ANA TOA MIONGOZO KENYA [emoji1787]Kazi iliompeleka Jakaya imeanza
Tulisimangwa mno yani mpaka tukakonda[emoji23][emoji28]Tulisimangwa sana na kuambiwa tuwaige. Sawa tutawaiga wakenya role models wetu wa demokrasia
Tuwaige.🤣Tulisimangwa mno yani mpaka tukakonda[emoji23][emoji28]
IEBC wanazo siku saba za kutangaza mshindi wa kura za urais, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010. Wanachofanya ni kuhakikisha kila kitu kinafanywa kwa umakini mkubwa na kwamba process zote za kisheria zinafatwa. Ili kuzuia kilichowasibu uchaguzi wa 2017, ambapo matokeo ya kura za urais yalibatilishwa na mahakama. Kila kitu kipo wazi kwenye portal ya IEBC na tayari wakenya wanajua rais ajaye ni nani. Kinachosubiriwa tu ni tume hiyo kutangaza rasmi.
Arrest all criminals already!