Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 955
Mtu wa Pwani,jamani tumechukua hadithi za upande mmoja na kuziamini moja kwa moja na kuanza kukandamiza kisawa sawa.
mtindo huu ndio unaopelekea watu kuliona jamvi letu ni la kishabiki sana,ni busara kuangalia pande zote za shilingi.
wakuu kuna watu wao zikiletwa habari za upande fulani hawafikiri mara mbili huziamini na kuanza kushusha pumba.
hivi demokrasia maana yake upinzani uwe na uhuru ya kufanya walitakalo hata wakivunja sheria ya nchi?
demokrasia ili itendeke lazima wapinzani washinde?
rafu kwa upinzani ok ila kwa chama tawala no.
upinzani walitudanganya kuwa mgombea wao kapewa sumu, uongo wa mchana kweupee hakuna alie na sauti ya kukemea wakati iko wazi, bali haya kusikia tumeyavalia njuga.
taireni wakuu.
Ningekuwa mwandishi wa habari ningempigia OCD wa Kiteto na kuwarushia maongezi yangu na yeye. Namba yake ninayo lakini mimi si mwandishi wa habari. Anapatikana kupitia namba +255-784-368-759Tunahitaji taarifa za kina na zilizothibitishwa. Hawa polisi kama hawasomi alama za nykati wasubiri kivumbi. Patakucha hapa
Nimeipata namba ya RPC anayeshughulikia suala hili sasa hivi. Ni +255-773-606-560 au +255-713-606-560. Kwa Mwanakijiji nadhani nimekurahishia mkubwa. Try out... OCD .... Anapatikana kupitia namba +255-784-368-759
Cha ajabu mbona vyombo vyetu vya habari haviandika habari hizi?
jee umeuliza sababu za ugomvi huo? tokeo sawa limetokea lkn sababu ni nn?
hebu tupatie chanzo cha hayo kutokea
uuuuuuwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiii,
Jamani jamani jamani jamani,
yaani yamekuwa haya tena?!?!!?
Binafsi nashangaa hata chombo kimoja cha habari kilicho andika habari hizi hakuna!! Jamani wandishi wa habari, hapa hakuna?
Mambo ya Kenya haya!! sasa Kofi Annan atajigawaje iwapo Kiteto itakuwa Nairobi ama Naivasha?