Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Nyarandu nae karudi CCM,

Naona sasa mafisadi wanarudi
 
Kwa mwenendo iliyokuwa inaenda nayo CHADEMA tulikionya kuwa kinajichimbia kaburi lake yenyewe!

TSON akaenda mbali kusema 2013 ndo mwisho wa CHADEMA (chenyewe kikajitahidi mpaka 2020)

Ikiwa ni kweli (tunarudia) ikiwa ni kweli, Naona kabisa chama dume kikianza kukusanya Majembe, sururu, Makoleo .... (maandalizi ya kuchimba kaburi)
Waruhusiwe nao wafanye siasa kwa uhuru na uwazi kwa mujibu wa katiba ili tuone kama kweli wamekufa kama unavyodai. Huwezi kuzuia chama kisifanye siasa kwa mtutu wa nunduki halafu unadai kimekufa.
 
Kwa Hyo Nyarandu Anaanza Kuwananga Cdm Tena? [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamaani.. Haya... Tunamwombea kila la kheri.... Sasa ni Mwenyekiti...
Tunasubiri mambo mazuriii
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa...
Naaaaaahh, nooooo, Makonda noooo, noooo, Mama Samia hawezi fanya kitu kama hicho, hapana kabisa
 
Back
Top Bottom