Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kura zote 1862.....100%. Hakukuwa na option ya kutangaza matokeo mengine zaidi ya haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what wewe unasubiri nini?Mwenyekiti wa chadema Lindi ahamia ccm katika mkutano mkuu,
Hahaha...Apewe tu maana CCM haina mvuto tena
Nyalandu karudi CCM! Haya anzeni sasa kumtukanaSo what wewe unasubiri nini?
Hehehhe..Sawa, kazi iendelee maana kapewa vyote (jembe,nyundo na mwenge)[emoji1732][emoji1787]
Taratibu mambo yanarudi kwenye formation....Kura zote 1862.....100%. Hakukuwa na option ya kutangaza matokeo mengine zaidi ya haya.
Waruhusiwe nao wafanye siasa kwa uhuru na uwazi kwa mujibu wa katiba ili tuone kama kweli wamekufa kama unavyodai. Huwezi kuzuia chama kisifanye siasa kwa mtutu wa nunduki halafu unadai kimekufa.Kwa mwenendo iliyokuwa inaenda nayo CHADEMA tulikionya kuwa kinajichimbia kaburi lake yenyewe!
TSON akaenda mbali kusema 2013 ndo mwisho wa CHADEMA (chenyewe kikajitahidi mpaka 2020)
Ikiwa ni kweli (tunarudia) ikiwa ni kweli, Naona kabisa chama dume kikianza kukusanya Majembe, sururu, Makoleo .... (maandalizi ya kuchimba kaburi)
Tusubirie tuone, walitarajia atapingwa..Kwani ilitarajiwaje?
Hakuna mafisadi huo ni msemo wa kisiasa tu kuwashambulia watu mnaoshindana kisiasa.Nyarandu nae karudi ccm,
Naona sasa mafisadi wanarudi
Na chadema nao wanaanza kumtukana Nyarandu.Kwa Hyo Nyarandu Anaanza Kuwananga Cdm Tena? [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]
Naaaaaahh, nooooo, Makonda noooo, noooo, Mama Samia hawezi fanya kitu kama hicho, hapana kabisaMakamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa...
Kina mdee waliitwa Covid-19 sijui huyu ataitwaje [emoji3][emoji3]Na chadema nao wanaanza kumtukana Nyarandu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanasiasa bhana
Ila tabu wanaipata mashabiki wa chadema kwa kugeuzwa geuzwa kama chapati.Kina mdee waliitwa Covid-19 sijui huyu ataitwaje [emoji3][emoji3]