Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na ushawishi kwa wajumbe, wala hawana athari kwenye sanduku la kura,

huku upande mwingine kukiwa na mgombea madhubuti, huku akiwa anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, ambao ndio haswa wenye maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa chadema taifa.

infact,
hapatakua na mchuano mkali kabisa, wala hapatakua na ushindani siku ya uchaguzi, kwasababu kimsingi utakua ni uchaguzi baina ya mitandao ya kijamii isiyo na kura hata moja siku ya uchaguzi, dhidi ya mgombea mahiri mwenye idadi kubwa mno ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa ambao wanamuunga mkono, na ndio wenye maamuzi ya mwisho.

Kama mdau wa siasa,
unadhani ni kwa kiasi gani mitandao ya kijamii imewapumbaza, imewaaminisha na kuwazubaisha wagombea uongozi wa nafasi mballimbali nchini, hususani kuelekea uchaguzi wa chadema Taifa?

Na Je,
kuna darasa au somo kwa wanasiasa, hususan wa chadema kujifunza? maana katika chaguzi nyingi chadema huzubaa na kujipiga kifua mitandaoni kwamba wanakubalika, wakati wakienda field wanajikuta hawajulikani, hawaeleweki wala hawafahamiki ?

Uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa unatarajiwa kuanza tar.Jan.13,2025 kwa BAVICHA na BAZECHA kufungua pazia la uchaguzi ngazi ya taifa, wakifuatiwa na BAWACHA na hatimae uchaguzi wa chama Taifa katika ujumla wake Jan.22,2025.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Huko 🇨🇳 wenzetu wazindua Train yenye kasi zaidi. Inaitwa CR 450. Ni dude hasa. Kilometa 1200 Linatembea masaa matatu tu.
 
huku eti kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anarubuniwa kwa vipande vya fedha na mali anatumwa kuivuruga chadema kwa mdomo na makelele,

ni haki na inawezekana kweli mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa makini kama wale?🐒
 
Sasa wewe si ni mwana CCM mwenzetu,
Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?.
Gentleman,
mbona unababaika na wataalamu waandamizi wa siasa za vyama vya siasa nchini?

na umefuata nini chumbani kwa wengine na mawenge? Ikiwa unaoendelea kuongeza uelewa na ufahamu wako juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchmi, basi nifuatilie kwa makini tu 🐒
 
Mbona unaweweseka ukifikiria CHADEMA chini ya Lissu? Mzee wa hovyo wa CCM vipi ghafla una mapenzi ya ajabu kwenye SACCOS yetu? Kwa siku post tatu unato?

Kupenda CCM lazima uwe mpumbavu aisee
 
epuka makasiriko na mihemko gentleman,
jikite kwenye hoja kwa ujasiri na kishujaa, acha unyonge kamanda 🐒
 
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na ushawishi kwa wajumbe, wala hawana athari kwenye sanduku la kura,

huku upande mwingine kukiwa na mgombea madhubuti, huku akiwa anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, ambao ndio haswa wenye maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa chadema taifa.

infact,
hapatakua na mchuano mkali kabisa, wala hapatakua na ushindani siku ya uchaguzi, kwasababu kimsingi utakua ni uchaguzi baina ya mitandao ya kijamii isiyo na kura hata moja siku ya uchaguzi, dhidi ya mgombea mahiri mwenye idadi kubwa mno ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa ambao wanamuunga mkono, na ndio wenye maamuzi ya mwisho.

Kama mdau wa siasa,
unadhani ni kwa kiasi gani mitandao ya kijamii imewapumbaza, imewaaminisha na kuwazubaisha wagombea uongozi wa nafasi mballimbali nchini, hususani kuelekea uchaguzi wa chadema Taifa?

Na Je,
kuna darasa au somo kwa wanasiasa, hususan wa chadema kujifunza? maana katika chaguzi nyingi chadema huzubaa na kujipiga kifua mitandaoni kwamba wanakubalika, wakati wakienda field wanajikuta hawajulikani, hawaeleweki wala hawafahamiki ?

Uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa unatarajiwa kuanza tar.Jan.13,2025 kwa BAVICHA na BAZECHA kufungua pazia la uchaguzi ngazi ya taifa, wakifuatiwa na BAWACHA na hatimae uchaguzi wa chama Taifa katika ujumla wake Jan.22,2025.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Labda kama ulitaka kumaanisha CUF
 
Labda kama ulitaka kumaanisha CUF
Gentleman,
hebu elezea wadau kwa kifup tu, kwamba ushindani uko wapi hasa ndani ya mkutano mkuu wa chadema Taifa na miongoni mwa wajumbe wa mkutano mkuu?

Mgombea moja ana numbers za wajumbe wa kutosha na ndio wamuzi wa mwisho, na unaweza kusema the candidate is the darling to delegates,

hali ya kua mgombea mwingine ana popularity ya mitandaoni ambayo haitakuepo siku ya uchaguzi. Na ofcoz tunaweza kusema he is the darling of social medias and enemy of delegates.

ushindani uko wapi sasa hapo, ikiwa mshindani moja ana mikono yote na mwingine hana hana hata moja?🐒
 
Machawa wa CCM mna hofu na Lissu mnajua upumbavu wenu mwisho, mapenzi ya CHADEMA mmneanza lini nyie UWT
sasa gentleman,
uchuguzi hauna ushindani kabisa,

hofu ya nini na unaitoa wapi?

yaani wajumbe wamuogope kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambae hata hawajui huko kwa mabwenyenye anaishi wap?🐒
 
Huko 🇨🇳 wenzetu wazindua Train yenye kasi zaidi. Inaitwa CR 450. Ni dude hasa. Kilometa 1200 Linatembea masaa matatu tu.
We acha tu ndugu yangu,kila kukicha eti wanasema siasa ndio maisha.Wenzentu kazi za kitaalam ndio maisha.Siasa utamuuzia nani zaidi wanaokula kwenye siasa.Hapa vijana wanapaswa kujitambua siasa ipo ila maisha na ubunifu ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom