Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike mahali walipwe mishahara ili kuifanya kazi hiyo iwe na thamani ,