Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
Hapa viwanja vya Bunge leo pamegeuka gulioni, karibu wabunge wote wapya, wamekuja na ukoo mzima. Wengine wenye vipochi vinene wamekodi mabasi kuwaleta wapiga kura wao. Makundi ya watu, graduation ya chuo ni cha mtoto.
ni sherehe ya kuapishwa eeeh!??Hapa viwanja vya Bunge leo pamegeuka gulioni, karibu wabunge wote wapya, wamekuja na ukoo mzima. Wengine wenye vipochi vinene wamekodi mabasi kuwaleta wapiga kura wao. Makundi ya watu, graduation ya chuo ni cha mtoto.
nusu saa si imeisha au saa za huku jersey zinasoma vipi?
CCM wamejaza wabunge wasio na tija bungeni, akina viki kamata unadhani wanafanya nini huko kama si kujaza tu bunge bila tija, na hao ndo wanaowaangusha wa TZ
katibu anasema tume ya taifa ya uchaguzi imemuidhinisha marando kugombea kama taratibu zinavyotakwa
ni ushabiki lakini jamani marando anafaa kuliko huyo headmistress
SEndeka ndo alikua anabishana na shekifu aliekuwa mkuu wa mkoa wa manyara na sasa wote leo hii ni wabunge!!!
Watangaze basi tujue moja
Mkuu jibrekisha kidogo maana nakuonea huruma betri inaweza kuisha ukakosa uhondo umeme wenyewe huu.Posted via Mobile
Hahahaha, hii huwezi kuipata kwenye TV.
Hii kali, pole mkuu
kwi kwi kwi:smile-big:
hebu malaria sugu atujuze