Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Jamani vicky ni chakula ya mzee...........,sasa siametangulia ilimzee akija mambo yawe safi duh! hilinalo mpakamtangaziwe redioni.
VP matokeo bado tu??
baba tendaaaaa muujizaaaaaa.........
usiache mwaka huu upite bila marando kuwa spika....
tendaa muujizaaa
baba tendaaaa..........
Why are the results are taking to long
Hivi nusu saa haijaisha au kwa saa za hapa saa inakuwa inaenda anticlockwise
There are currently 295 users browsing this thread. (127 members and 168 guests)
Wanaweka sawa kuna kura zimeongezeka Mdee hajui zimetoka wapi hahahaha joking
Anna Makinda akichaguliwa kuwa spika ndo mwendelezo wa kifo cha CCM.
Kwaheri CCM!!!!!