Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

.Hawa wabunge wa viti maalum wa CCM ambao ni vibinti, wanaleta urembo bungeni, si vikuku!. Halafu wanaringa na kujisikia sana. Kuna baadhi tunafahamiana leo wanatuchunia, eti kwa vile ni waheshimiwa, hawasalimii tena, lazima wasalimiwe.
 
hivi wanahesabia kwenye chumba maalumuau ndani ya ukumbi wa bunge?
 
.Hawa wabunge wa viti maalum wa CCM ambao ni vibinti, wanaleta urembo bungeni, si vikuku!. Halafu wanaringa na kujisikia sana. Kuna baadhi tunafahamiana leo wanatuchunia, eti kwa vile ni waheshimiwa, hawasalimii tena, lazima wasalimiwe.
usisahau kuweka pic bwana na sisi tupate vituko vya huko!
 
Kaeni mkao wa kumjua spika jamani bunge limeresume rasmi sasa,,,,ndo wanaingia bungeni
 
Mkuu hizi updates toka mjengoni zinahusika sana.....me nafanya kazi kwenye office ya Mhindi hapa Mjini sina access ya TV wala Radio...kwa hiyo I take JF kama chombo kinachonipa updates za hapa na pale.

Keep them Coming.
 
Jamani kahawa yangu na kashata inapoa hapa, fanyeni fasta kutujuza nataka nijue narudije huko mjini DAR ES SALAAM
 
Wamechelewa kutangaza ile formula ya % iliwapiga chenga kidogo
 
Ningependa sana Marando awe spika, lakini navyowajua wabunge wa CCM hawana utaifa bali wana maslahi ya chama, so mpaka sasa natambua spika atatoka CCM tu

hatukatai wanawake kuongoza lakini sio kwastaili hii ya kupandika viongozi ilikuficha madhambi yanayofanywa na serikali.
 
Hapo najua Lowassa, Chenge, Rostam meno njee wanafurahia
 
.Hawa wabunge wa viti maalum wa CCM ambao ni vibinti, wanaleta urembo bungeni, si vikuku!. Halafu wanaringa na kujisikia sana. Kuna baadhi tunafahamiana leo wanatuchunia, eti kwa vile ni waheshimiwa, hawasalimii tena, lazima wasalimiwe.

wapotezee...kuna wakati watakuhitaji wewe zaidi yao...subiri 2014 kuendelea

By the way hao tutakamatana jioni tu....:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…