Hommie nilimwona Eddo anatabasam kwa sana tu sijui kwa nn....dah
Hommie nilimwona Eddo anatabasam kwa sana tu sijui kwa nn....dah
Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.
F = Fighting
F = For
:smile-big:
F = Food
Hommie nilimwona Eddo anatabasam kwa sana tu sijui kwa nn....dah
Si anajua tayari yuko kwenye mstari wa kuelekea kusafishwa tuhuma zake ndio maana unamuona meno nje