Tufwile mnyambala...
ngoja nikaoge sasa....
Wabunge tisa wameharibu kura!!!!!!!!!!!!!
Wapinzani wamemtosa Marando!
Nilitarajia kura kuharibika 6-10 na imekuwa hivyo.Duh hata kwa waheshimiwa hawa kura zinaharibika? Nchi hii tumekwisha!
I expected this ngoja nirudi kwenye jukwaa langu kulee
ata sijui kwa nini nilifuatilia haka kauchaguzi kakifisadi?!!!!!!
kujipa hasira tu
Mbona Star TV wameandika Anna Abdallah?