Kura 53 alizopata marando ina maana hakupigiwa na wabunge zaidi ya chadema??
Ameshinda Makinda kwa kura ngapi, nimechelewa kusikia hilo
chadema ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? Ccm wote, wapinzani wengine wote na baadhi ya chadema wameunga mkono mgombea wa ccm. This can tell what to expect in the next 5 years.
Ameshinda Makinda kwa kura ngapi, nimechelewa kusikia hilo
ivi wabunge wa upinzani wako wangapi bungeni???
Duh!Marando hata wapinzani hawakumpa kura!kura zilizopigwa 327 kura zilizo haribika 9 Makinda 265 Marando 55
Ndo maana nasema hatuna wapinzani nje ya chadema, yaani wapinzani wengine wamempa huyu mama kura?
Kura 53 alizopata marando ina maana hakupigiwa na wabunge zaidi ya chadema??
Ndo maana nasema hatuna wapinzani nje ya chadema, yaani wapinzani wengine wamempa huyu mama kura?
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.