Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Jamani hawa CUF mie nilishasema wabunge toka Z'bar hawana msaada wowote hebu cheki hapo...INA MAANA MABERE HAKUCHAGULIWA NA CUF. WALIOMPA NI KAMA IFUATAVYO;
CHADEMA ==45
NCCR ==3
UDP==1
S. SITA NA MKEWE==2
JENISTER MHAGAMA ==1
DR. MWAKYEMBE ==1
KAFULILA WA NCCR NA MREMA WA TLP NAO HAWAKUMPA.
DU.........KAZI KWEIKWEI......
:yield:
Anna Makinda kura 265
Mabere Marando kura 53
Kura zilizoharibika 9
Hivi sie tusioamini mungu tuna kiapo chetu nasi?
"Tutatafuta namna ya kuwaaapisha" (Mwal Nyerere RIP)
redioni vp?
Nataka niwashe mchina wangu hapa nihabarike huku nachapa kazi
hata cifa za kuwa kiongozi hunaTangu Nyerere aseme hivyo hilo lilishatekelezwa? Wengine hatutaki / hatuwezi kugombea uongozi kwa mengi tu.