Tangu Nyerere aseme hivyo hilo lilishatekelezwa? Wengine hatutaki / hatuwezi kugombea uongozi kwa mengi tu.
ni Gs sasa amemaliza kuapa
Hii ina maana kwamba Marando amepata kura za kambi ya upinzani tu na Makinda kura za CCM.Anna Makinda kura 265
Mabere Marando kura 53
Kura zilizoharibika 9
anna makinda kura 265
mabere marando kura 53
kura zilizoharibika 9
hata cifa za kuwa kiongozi huna
Chadema peke yao wapo 45 na yeye amepata kura 53 nadhani reale2m hauko sahihi tupunguze ushabiki jamani...japokuwa Cuf sidhani km wamepa kura hata moja cause jamaa wana ubia na CCM na wamegoma hata kuunganisha nguvu na kuwa na kambi moja ya upinzani kaaazi kwelkweliAmepata kura za chadema pekeyake, sasa hapa kazi ipo na cjui huo upinzani ndani ya bunge kama kutakuwa na upinzani wa nguvu kwa chama tawala,
Halafu hii habari ya kila mbunge kuapa pekee inapoteza muda tu, wangeapishwa wote kwa mpigo, ukiwa bungeni na hujakataa iwe binding. Sio watu wanatumia kikao kizima kuapishana tu, wanaongeza gharama tu bila ufanisi.