wangapi hao wapiganaji, si wengi kama unavyozani, we subiri libeneke litakapoaanza tu utaona wapiganaji ni akina nani.
Jambo moja ambalo CCM wanashindwa kulielewa ni ile kanuni ya maisha kwamba kila kitu kina climax yake na ikifika hapo basi kinachofuata ni kuporomoka. Zimepita dola nyingi tu dunia, wanahistoria watatusaidia lakini za karibuni ni ile ya Warumi, Wajerumani, Waingereza na sasa Wamarekani ambao nao tayari wameanza kuwahofia Wachina.
Kwa kanuni hiyo ni wazi CCM itaanguka tu, na tayari dalili zimeanza kuonekana, na hata wakilazimisha vipi haitawezekana kuzuia mabadiliko. Wametumia sana usanii katika miaka ya karibuni, bado hali sio nzuri kwao kinachokuja ni kuporomoka hata watumie risasi, wakati ukifika watatoka tu.
ukwel unauma...alichokwambia jamaa ni kwel kabisa...
Kwanza wewe ni cuf ndo mana umetuwekea jina la mtandao wenu hapo..
Toka humu ndani ujaitwa
Wa baba yako unanifukiza, andika jina jingine basi uondoe kuwa ni jamii kama unazani uko sahihi, sasa kama mie cuf na wewe Chadema tatizo ni nini sasa.
wewe kilaza bado umekomaa tu humu ndani??
Hebu nenda kafungue issamichuzi ndo ya ccm na yenu cuf
Pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite Chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.wewe kilaza bado umekomaa tu humu ndani??
Hebu nenda kafungue issamichuzi ndo ya ccm na yenu cuf
Utayaandika yote ila jawabu unalo, maana unachofikiri usizani kila mtu anafikira kama zako, badilisha jina tu itanifanya nijiondoe.KWAN HADI UWE WA BABA. NYIE NDO MAMLUKI AMBAO HAMTAKIWA>>>>
Pichu.............. yko
mkuu kwani cuf humu hawaruhusiwi au kuna lingine alilofanya?
Labda useme wewe, maana inaonyesha kusikilizwa lazima uwe na thanks, na wanazani wako sawa kumbe sio, fanya kitu iwe ya jamii sio kundi au genge fulani, mbona forum mnataka kuibadili. Waiache iitwe jamiiforums sio vinginevyo.mkuu kwani cuf humu hawaruhusiwi au kuna lingine alilofanya?
Kura zilizopigwa jumla ni 327
Zilizoharibika ni kura 9
Anna...kura 265....SPIKA 74.2%
Marando.....kura 53[/COLOR][/FONT]
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.Pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite Chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.
nmefanyaje mkuu???pas huyoo!
pengine wewe ndo kilaza kuliko vilaza wote, nimewaambiwa badilisheni basi muite chademaforum, kama cuf hawana nafasi hapa.
Mdomo mali yako.kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu nitakutukania muda si mrefu sh.................type.
Haya bana naja na CUFFORUMkwan umeambiwa jf ni ya chadema???
Hii ni ya watu wote wapenda maeendeleo na mabadliko tz na sio watu kama "zantel" ambae anakua mpinzani ndani ya upinzani
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.
kama huna cha kuongea pisha wanaume waongee toka uanze unaharisha upupu tu unatujazia mipost ya kijinga nitakutukania muda si mrefu sh.................type.