Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
mkuu, hujawahi kutuangushaHatimaye kuna tetesi nimepenyezewa kwamba Bwana Mwabukusi pamoja na figisu alizofanyiwa amewashinda washindani wake
Mbinu walizotumia kumzuia japo ziligonga mwamba
1. Walisema karatasi za kupigia kura asubuhi ziliisha, hivo uchaguzi ukasimama.
2. Polisi wakaingilia kati.
3. Wakati wa jioni kuna kura zenye kupigiwa kwa Mwabukusi zilikuwa zimetupwa.