Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Hatimaye kuna tetesi nimepenyezewa kwamba Bwana Mwabukusi pamoja na figisu alizofanyiwa amewashinda washindani wake

Mbinu walizotumia kumzuia japo ziligonga mwamba
1. Walisema karatasi za kupigia kura asubuhi ziliisha, hivo uchaguzi ukasimama.
2. Polisi wakaingilia kati.
3. Wakati wa jioni kuna kura zenye kupigiwa kwa Mwabukusi zilikuwa zimetupwa.
mkuu, hujawahi kutuangusha
 
victor gets a one year tenure to

I am afraid that You are very wrong and out of touch with the current affairs , Boniface Mwabukusi will serve for 3 years following amendments pushed by the heavy weights in the ruling party CCM thinking a candidate it wants will assume office of the president of Tanganyika Law Society TLS to serve the deep state interests.
 
Habari ya mjini
 
Attachments

  • IMG-20240802-WA0076.jpg
    IMG-20240802-WA0076.jpg
    62.7 KB · Views: 1
Watanzania tumekaa tukisubiri matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa chama Cha mawakili Tanganyika. Uchaguzi ulifanyika Leo kuanzia asubuhi Kwa watu wasiozidi elfu name. Inasikitisha matokeo haya ya urais mpaka kufikia saa 3:30 wanaojiita wasomi wanashindwa kuyatangaza, hatuwaelewi!
 
I am afraid that You are very wrong and out of touch with the current affairs , Boniface Mwabukusi will serve for 3 years following amendments pushed by the heavy weights in the ruling party CCM thinking a candidate it wants will assume office of the president of Tanganyika Law Society TLS to serve the deep state interests.
Whatever,as I said it was an inconsequential position of no influence until about 1 election cycle ago..i ask why in the hell do we care about it so much?
 
Back
Top Bottom