Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
mkuu, hujawahi kutuangushaHatimaye kuna tetesi nimepenyezewa kwamba Bwana Mwabukusi pamoja na figisu alizofanyiwa amewashinda washindani wake
Mbinu walizotumia kumzuia japo ziligonga mwamba
1. Walisema karatasi za kupigia kura asubuhi ziliisha, hivo uchaguzi ukasimama.
2. Polisi wakaingilia kati.
3. Wakati wa jioni kuna kura zenye kupigiwa kwa Mwabukusi zilikuwa zimetupwa.
Acha ukabila
victor gets a one year tenure to
UJINGA tena?Ndio maana Rais Hakeendwa kwenye huo UJINGA.
Yule tulibambikiwa. Mmalawi. Mnyakyusa gani hana nyamaSpika naye ni wa kutoka unyakyusani au unyamboni?
Paje na WeteMkuu, sasa mafala wanatoka wapi,?
Anayesababisha ujinga ni nani?Ndio maana Rais Hakeendwa kwenye huo UJINGA.
Wale wamalawi.hata wale wa chama cha kijani mkuu
I love you, akawasha gari akatelezaImeisha hiyo👊
JF ya sasa ni kama tawi la kijani tu.Thread zinaunganishwa kwa kasi ya mwanga 😄
Nini unataka kufahamu nikufahamishe. Weka swali vizuri.Kama unawaelewa sana tueleze ni kwa nini washindwe kuandaa ipasavyo uchaguzi
Whatever,as I said it was an inconsequential position of no influence until about 1 election cycle ago..i ask why in the hell do we care about it so much?I am afraid that You are very wrong and out of touch with the current affairs , Boniface Mwabukusi will serve for 3 years following amendments pushed by the heavy weights in the ruling party CCM thinking a candidate it wants will assume office of the president of Tanganyika Law Society TLS to serve the deep state interests.
Hivi unaelewa maana ya neno "ngeli" ingelikuwaKasome sheria na upige kura
Ndio tatizo la D mbili hilo….
Kilimo-njaroMkuu, sasa mafala wanatoka wapi,?
Kwa nini uchaguzi unaohusisha voters wachache unachukua muda mrefu kupata matokeo kama sio systematic failure ya ku organise?Nini unataka kufahamu nikufahamishe. Weka swali vizuri.