Nauliza tu maana tumezoea Chaguzi za Simba na Yanga Matokeo hutangazwa ndani ya saa 1 au 2 tu ilhali Wanachama wa vilabu hivi wala siyo Wasomi

😄😄
 
Nauliza tu maana tumezoea Chaguzi za Simba na Yanga Matokeo hutangazwa ndani ya saa 1 au 2 tu ilhali Wanachama wa vilabu hivi wala siyo Wasomi

😄😄
Ujue kama kawaida wanataka kufunga goli la mkono!🤣
 
Hahahaa mkuu kwani shida iko wapi?
 
Kashinda Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…