Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Advocate Nkuba ndio alikuwa mgombea wa serikali na Ccm.
Ooh..Yees!You can see it crystal clear!Aiseee
Nkuba aliandika kabisa anagombea Urais TLS kwa niaba ya Serikali na CCM? Jibu maswali ya kimahakama haya..!! Usijibu kwa kuhisi hisi au tetesi
Ujue kama kawaida wanataka kufunga goli la mkono!🤣Nauliza tu maana tumezoea Chaguzi za Simba na Yanga Matokeo hutangazwa ndani ya saa 1 au 2 tu ilhali Wanachama wa vilabu hivi wala siyo Wasomi
😄😄
Mazingira ya uchaguzi ndio uanafefine huyo tusiyempenda kachaguliwa vipiInawezekana mimi ndio sielewi maana ya demekrasia au vipi?
Mtu akimchagua tusiempenda maana yake amenunuliliwa?
Hahahaa mkuu kwani shida iko wapi?Kuna mambo unajitahidi kutaka kuelewa lengo lake lilikuwa nini lakini unashindwa kabisa kuelewa,hivi Nyerere alikusudia nini hadi kuiingiza Tanganyika kwenye muungano na Zanzibar! Angalia leo tunavyoadhilika kwa kupelekeshwa na hawa waarabu koko! Na bado wenyewe eti tunawaita ndugu zetu wa damu!
Tupe kidogo tuna hamu ya kusikia Bonifasi Mtumishi Wa Mungu ametawazwa na Bwana.Kama hii taarifa ni kweli, basi mawakili wetu wamenithibitishia kwa vitendo wao ni wasomi.
Nkuba aliandika kabisa anagombea Urais TLS kwa niaba ya Serikali na CCM? Jibu maswali ya kimahakama haya..!! Usijibu kwa kuhisi hisi au tetesi
Nimetafuta ukweli wa hii taarifa kwenye vyanzo vingine naona bado kimya, watakuwa wanaendelea kuhesabu kura maana kuna muda kama wa saa zima zoezi lilisimamishwa karatasi ziliisha za kupigia kura.Tupe kidogo tuna hamu ya kusikia Bonifasi Mtumishi Wa Mungu ametawazwa na Bwana.
Kashinda Nani?Wakuu,
UPDATE saa Saba Mchana: TLS waomba radhi kupitia ukurasa wao wa X baada ya kupost kuwa zoezi la upigaji kura limeisha wakati mawakili wakiwa wanasubiri karatasi za kupigia kura ziongezwe.
Kusoma zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika
======
UPDATE saa 12:17 PM: Ukurasa wa X wa TLS wamepost kuwa uchaguzi umeisha, lakini upande mwingine taarifa ni kuwa karatasi bado zinazubiriwa kuongezwa ili zoezi la kupiga kura liendelee kwa wale ambao bado hawajapiga kura.
Zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?
===
UPDATE majira ya saa tano asubuhi: Zoezi la kupiga kura limesimama baada ya karatasi kuisha, mawakili wanasubiri karatazi ziletwe ili zoezi liendelee.
Zaidi kuhusu hili soma hapa: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee
====
Leo ndio leo, ni kivumbi na kijasho, hatma ya Urais TLS kugundulika leo.
Uchaguzi wa Rais wa TLS uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, kufanyika leo Agosti 2, 2024. Je nani ataibuka mshindi kati ya wagombea hawa sita?
Kama ulikosa mdahalo wa wagombea hawa pita hapa Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
1. Capt. Ibrahim Mbiu Bendera
2. Paul Revocatus Kaunda
3. Sweetbert Mkuba
4. Boniface Mwabukusi
5. Emmanuel Agustino Muga
6. Revocutus Lubigili Kibwe
Kwa kufatilia kwangu naona upinzani mkubwa upo kati ya
Sweetbert Mkuba na Boniface Mwabukusi.
Je, unadhani mshindi atatoka kati ya hawa wawili au tutapata mshangao wa kufunga mwaka kwa asiyetarajiwa kabisa kuibuka mshindi?
Usikae mbali na uzi huu kupata updates zote za yanayoendelea kwenye uchaguzi huu.
Tunasubiri ushindi wa MwakubusiBado matokeo hayajatangazwa Mkuu