ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Watajua hawajuaiNioana kwenye Tweeter (X) ya Maria kuwa Mawakili wa Zanzibar wamepelekwa Dodoma kwenda kupiga kura za Rais wa TLS.
On top of that wamelipiwa flight tickets kuwapeleka probably na mambo mengine ambayo hatujui. Hivi Mawakili wa Zanzibar ambao nao wana chama chao huwa wanasajiliwa upya na TLS au huwa wanakuwa admitted automatically?
Kwa hili kweli jamaa wamepania kuwa Mwabukusi hachukui. Jicho letu kwa wanasheria wetu Kama nao wananunulika, then hakuna sababu ya kuwalaumu Wanannchi wa
Palestine 😄😄😄Mkuu, sasa mafala wanatoka wapi,?
KumekuchaPalestine 😄😄😄
Hicho ni chama cha mawakili wa Tanganyika ndio maana ni Tanganyika Law Society.Nioana kwenye Tweeter (X) ya Maria kuwa Mawakili wa Zanzibar wamepelekwa Dodoma kwenda kupiga kura za Rais wa TLS.
On top of that wamelipiwa flight tickets kuwapeleka probably na mambo mengine ambayo hatujui. Hivi Mawakili wa Zanzibar ambao nao wana chama chao huwa wanasajiliwa upya na TLS au huwa wanakuwa admitted automatically?
Kwa hili kweli jamaa wamepania kuwa Mwabukusi hachukui. Jicho letu kwa wanasheria wetu Kama nao wananunulika, then hakuna sababu ya kuwalaumu Wanannchi wa Kawaida.
Nawasilisha.
Alihudhuria?Ngoja Pascal Mayalla atuthibitishie
Ilikuwa na mapandikizi mengiKwani Serikali iligombea vs Mwabukusi?
Na kura amepigaAlihudhuria?
Sasa ukabila unaingiaje hapa!
Kweli sijui wanapoteleaga wapi labda watuonyeshe matunda ya taifa hasa walipopita watu mashuhuri kama tl na fkSema hii TLS huwa ina kelele siku ya uchaguzi tu baada ya hapa ni kiiiimyaaaa amsha amsha zitakuja tena kwenye uchaguzi, hadi sielewagi yani
Amsha amsha unahisi kuna kitu kitafanyika kumbe walaaa baada ya leo tutawaona tena next uchaguzi.Kweli sijui wanapoteleaga wapi labda watuonyeshe matunda ya taifa hasa walipopita watu mashuhuri kama tl na fk