Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HONGERA Mwabukusi.
Ni ishara nzuri sana hii kwa Tanzania.
Kumbuka TLS si Chama cha siasa Bali Chama cha Kitaaluma.Mwabukusi atakuwa rais kwa miaka 3, CCM mlichagiza wenyewe badala ya kuwa urais wa TLS kuwa wa mwaka mmoja CCM wakitumai kibaraka awekwe TLS.
Wakili msomi Boniface Mwabukusi urais wake TLS utakuwa kuanzia mwaka huu 2024 - hadi 2027 kipindi kizuri wadau wa demokrasia TLS kuunga mkono pressure ya kuelekea uchaguzi mkuu uwe huru 2024 / 2025
I love you more....akawasha gari akatelezaI love you, akawasha gari akateleza
Wazanzibar wanakuwaje wanachama kwenye chama cha wanasheria wa Tanganyika? Au Mzanzibari anakuwaje Rais wa serikali ya Tanganyika? Maana watetezi wa mfumo wetu wa ovyo wa muungano wanadai serikali ya Tanganyika ipo ndani ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaani maana yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande mwingine ndiye Rais wa Tanganyika ambayo itashughulika na mambo yasiyo ya Muungano sasa katika hali kama hiyo Mzanzibar anakuwaje Rais wa Serikali ya Tanganyika ambayo inashughulika na mambo yasiyo ya Muungano? Halafu Rais huyo huyo tunayemuita Rais wa serikali ya muungano pamoja na Uzanzibar wake lakini hana mamlaka wala madaraka yoyote upande wa kwao Zanzibar!Hahahaa mkuu kwani shida iko wapi?
Alisikika mkaazi wa makurunge kwa kivuzi akinena. Huku akiwa Amelewa na kuanguka angukakura bandia za mwambukusi zagonga mwamba
Inawezekana sana.Hatimaye matokeo ya TLS yametoka. Mwabukusi kaibuka Kidedea. Kumbe inawezekana umma utaamua.
Ningeshangaa sana kama asingeshinda!Habari ya mjini
Wakati wa Lissu Mambo yalikuwa moto mpaka akala shaba. Wakati wa Mwabukusi utashuhudia kesi nyingi dhidi ya serekaliAmsha amsha unahisi kuna kitu kitafanyika kumbe walaaa baada ya leo tutawaona tena next uchaguzi.
Harakati za pimbi 😁
Ww umepiga kura?GTs ,
Habari za uhakika kabisa Adv. Mwambukusi kashindwa uchaguzi vibaya mno. Pole zake. Sisi mawakili hatuhitaji mwanaharakati.
Umechamba kweli?GTs ,
Habari za uhakika kabisa Adv. Mwambukusi kashindwa uchaguzi vibaya mno. Pole zake. Sisi mawakili hatuhitaji mwanaharakati.