GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.
Hawa watu ni wapumbavu sana, hawajali kabisa hatma ya hii nchi! Wamelewa madaraka chakari mpaka wamekuwa delusional kabisa.
Cry the beloved country.
 
Duh kumbe ilikuwa kama vita aisee,ila ndio wakome kuvuka mipaka ya nchi za watu na kuingilia mambo yasiowahusu
Askari wa kigeni walioingizwa na samia kuwaua Watanganyika wameshughulikiwa vizuri sana na JWTZ hapa Dar.

Hadi sasahivi hawavai nguo zao nyeusi. Wanavaa magwanda yanayofanana na polisi au kuna muda wanavaa nguo za kiraia ili wakimbie kiurahisi

Ila wanatumia gari la polisi na hizi land cruisers. Inasemwa wako coordinated na Mafwele na CP Awadh wa Jeshi la Polisi
 
Yaani CCM hawaoni hata aibu? Kwa hiyo hawa wanaojitokeza kwenye maandamano na wanaobaki nyumbani ni asilimia ngapi? Ngoja tumuonyeshe Mziki sasa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hao mazafakas wa INEC kuanzia sasa wawindwe kama digidigi. Hatuwezi kuvumilia usaliti wa kiwango hiki.
 
Hakuna JWTZ huko? Kwa nini msiwaite?

Dar tumewaita JWTZ na wamewaua wengi sana hao askari kutoka Uganda, Burundi na Congo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
JW wamefanya vizuri sana. Na mapambano HAJAFIKA mwisho. Kutangazwa kuwa kashinda kihuni ni batili na wananchi tunatakiwa tujitokeze kwa wingi kupinga. Hatuwezi kuwa na rais anayenuka damu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cha ajabu kuna wasaliti kutoka Tanganyika wanashirikiana naye kwenye kuihujumu Tanganyika.
 
Hakuna JWTZ huko? Kwa nini msiwaite?

Dar tumewaita JWTZ na wamewaua wengi sana hao askari kutoka Uganda, Burundi na Congo.
Hii ni hatari sana kwa usalama na mustakabali wa Tanzania kwa Samia kutumia wahuni kutoka hizo nchi za Burundi, DRC, Uganda na nchi nyingine. Tunaenda kuwa kama DRC tukiendelea na Samia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…