GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uzalendo wako ulikuwa kwa Mbowe, maslahi yako, tumbo lako, kabila lako.

Toka aoendolewe sasa hivi uko upande wa genge la Samia. Watu kama nyie wasaliti, mnaojali vyeo, matumbo yenu pekee ndio genge la Samia linawatumia kutawala Tanganyika.
 
Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
 
Uzalendo wako ulikuwa kwa Mbowe, maslahi yako, tumbo lako, kabila lako.

Toka aoendolewe sasa hivi uko upande wa genge la Samia. Watu kama nyie wasaliti, mnaojali vyeo, matumbo yenu pekee ndio genge la Samia linawatumia kutawala Tanganyika.
Mbowe kaingiaje tena? Unanilaumu kwa lipi? Pambaneni na hali zenu!!!
 
Mbowe kaingiaje tena? Unanilaumu kwa lipi? Pambaneni na hali zenu!!!
Jinsi ulivyopiga U-turn na sasa kufurahia haya maovu yanayoendelea nchini. Umebadilika, sio kama uliivyokuwa mpinzani mkubwa wa serikali Mbowe alipokuwa madarakani.

Wakati ule tusingeona hivi emoji zako za kuchekacheka kwenye issue muhimu zinazohusu mustakabali wa Taifa.
 
01 November 2025

Mwenyekiti wa INEC jaji Jacobs Mwambegele

Tanzania President Samia Suluhu declared election winner after garnering 98pc of votes​

View: https://m.youtube.com/shorts/-GCVGcUirbc

Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele​

Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele​

Mwenyekiti wa Tume INEC TANZANIA​

Hakuna shaka kwamba hizi ni takwimu za kupika. INEC is full of demons-possessed traitors of our beloved country!

Katika historia ya Tanzania, we have never had a 87% voter turnout hata kwenye zile chaguzi ambazo zilikuwa shwari.

Tunachoambiwa hapa ni kwamba hata wale ambao wamepinga huu uchaguzi katika kila stage of the way nao wamepiga kura. That’s utter bullshit.

Faki INEC, faki CCM, faki Samia The Killer!
 
Pole sanq kunywa maji mengi....maumivu yakizidi muone daktari.
 
Pole sanq kunywa maji mengi....maumivu yakizidi muone daktari.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…