Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
ShukranMkuu GT kusema kweli nafarijika sana kusomaga michango yako humu. Unaandika facts kabisa.
Nje ya mada naomba kujua umespecialized kwenye fani gani naona upo kotekote, Afya, management, business, politics, agriculture, psychology n.k.
Hivi kwani huko kwa Kim huwa kuna chaguzi?Hizo ni namba za Kim Jong Un wa North Korea.
Hivi kwani huko kwa Kim huwa kuna chaguzi?
Huwa wanampigia kura Kim au?
It’d be so funny if they actually have elections there….
Mkuu post yako ulipost jumamosi, na internet ilizimwa kulikoni sasaHiki ni kituko cha dunia.
Huu ndo wakati wa kuwafundisha Wazanzibari kuwa wakome kutuchezea Watanganyika.
Kuanzia leo ndo Wataelewa nini maana ya nguvu ya umma.
Huyu Mama akikanyaga Tanganyika ili atuongoze sasa ni kumshughulikia kama alivyoshughulikiwa Samuel Doe kule Liberia
Haya ni maajabu ?View attachment 3496384
Ni kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866
Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844
Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye kapata kura 213,414 sawa na 0.65%
Some Social Media reactions:
View: https://www.instagram.com/reel/DQgY53KiOXX/?igsh=c2U5aTQ1dnRoMW5m