Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Ndiyo kazi mliyobakisha mnafundishwa huko chamani kwenu kutukana ,Ndio maana mnapuuzwa na watanzania. CCM huku huwezi kukuta mtu mwenye matusi Kama ninyi.sisi tunafundishwa kujenga hoja kuvumiliana kuheshimiana kukosoana kwa heshima na staha na upendo na uzalendo. Hii ndio sababu unaona CCM Inaendelea kudumu na kudumu madarakani maaana haina mbadala wake katika nchi hii kiuongozi na haitakujaa utokee mbadala wa CCm hapa nchini. Watu Kama nyie mmezongwa na msongo wa mawazo na kukosa msaada wa kisaikolojia
Nyie mnafundishwa kusifia tu viongozi ili mkeka usiwapite
 
Nyie mnafundishwa kusifia tu viongozi ili mkeka usiwapite
Tumefundishwa ndani ya CCM kuwa na hekima busara uadilifu uvumilivu Subira uzalendo upendo n.k, wakati upinzani wamefundishwa kutukani kwa kadri ya uwezavyo na hapo ndipo utaitwa Kamanda mpambanaji,yaani Ni fulu matusi utafikiri mishipa ya ubongo imekatika
 
Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna ambavyo Ni ngumu kuizuia CCM mlangoni.

Katika uchaguzi wa ndani ya CCM wa viongozi mbalimbali katika ngazi tofauti tofauti unaoendelea nchini kwote umekuwa Ni gumzo hapa nchini. Mijadala yote ya kisiasa katika vijiwe vyote,mitaa yote,vyombo vyote vya Habari,mitandao yote ya kijamii Ni juu ya CCM na uchaguzi, Ni juu ya Nani kapitishwa na Nani kakatwa na Nani apigiwe kura za Ndio na Nani awe na Subira.

Ni uchaguzi ambao umeviteka vyama vya upinzani hasa chadema na kujikuta Vimesimamisha shughuli zake zote za kisiasa na kujikita kufuatilia uchaguzi wa viongozi wa CCM, kwa kuwa hakuna habari inayovuma kwa Sasa Kama uchaguzi wa CCM, Chadema imegeuka na kuwa Tawi la kuwatambulisha wagombea wa CCm, chadema ndio wamekuwa Kama maafisa habari wa habari za CCM juu ya Nani kakatwa na sababu za kukatwa kwake, chadema kwa Sasa imejikita katika kufuatilia kwa kina kinachoendelea katika uchaguzi huu na kusahau shughuli zao za ndani ya chama Chao

Hii Ni kutokana na Nguvu waliyonayo na wanayokuwa nayo viongozi wa CCm, hii Ni kutambua ushawishi wa viongozi wa CCm katika masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya watanzania,kwa kuwa Hawa ndio wafuatiliaji wa utekelezaji wa ilani ya CCM, Hawa viongozi wa CCm Ndio wenye wajibu wakufahamu ikiwa wananchi wanapata huduma na kuhudumiwa Kama ilivyo ahidiwa katika ilani kupitia uchaguzi mkuu,Hawa ndio wenye ofisi ambazo zimekuwa wazi muda wote na kimbilio kwa waliokata Tamaa au kuonewa au kudhulumiwa au kucheleweshewa haki au kupokonywa haki.

Hawa ndio sauti kwa wasio na sauti na nguvu kwa wasio na nguvu, Hawa ndio unaoweza ukawakimbilia na kupokelewa kwa uharaka,Hawa ndio wanaoweza kumsikiliza mwananchi mnyonge yeyote mwenye shida, Hawa ndio wanaojuwa Hali za kimaisha za watanzania na kuishi nao, Hawa ndio Tumaini la wote,Hawa ndio wanaoweza kumuita kiongozi yeyote wa serikali atoe majibu kwa maswali ya wananchi,Hawa ndio wenye masikio sikivu na macho ya kutazama kila kitu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii Daima Milele na Hakuna chama Wala mtu mwenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini ,hayupo na Wala hajazaliwa, Kama huamini Basi ondoka ndani ya CCM uone kama CCM itatikisika au kuteteleka. Hii ndio CCM chama kiongozi , Chama Cha Hayati Baba wa Taifa mwalimu Nyerere, Chama kinachoheshimika ndani na nje ya Tanzania,

Chama mkombozi wa nchi za kusini Mwa Afrika, chama kilichobeba matumaini ya watanzania, chama kinachokubalika na kuaminika na makundi yote ya watanzania,chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka, chama kilicho na misimamo na misingi madhubuti , chama kinachotanguliza maslahi ya Taifa mbele. Ni chama kilicho katika mikono salama ya Mwenyekiti wake Shupavu,Mzalendo na Hodari mh Mama Samia Suluhu Hassan.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
misambwanda ya ccm mnatafta wanaume chadema kwa taarifa yako chadema haina muda na misambwanda ya majiz ya kura.
 
Ndiyo kazi mliyobakisha mnafundishwa huko chamani kwenu kutukana ,Ndio maana mnapuuzwa na watanzania. CCM huku huwezi kukuta mtu mwenye matusi Kama ninyi.sisi tunafundishwa kujenga hoja kuvumiliana kuheshimiana kukosoana kwa heshima na staha na upendo na uzalendo. Hii ndio sababu unaona CCM Inaendelea kudumu na kudumu madarakani maaana haina mbadala wake katika nchi hii kiuongozi na haitakujaa utokee mbadala wa CCm hapa nchini. Watu Kama nyie mmezongwa na msongo wa mawazo na kukosa msaada wa kisaikolojia
ccm mmebaki mashoga tupu hamuwez kupambana na wanaume kama chadena mpaka msaidiwe na tume fake na hao polis fake kushinda maana mmebaki nyoronyoro tu.
 
Tumefundishwa ndani ya CCM kuwa na hekima busara uadilifu uvumilivu Subira uzalendo upendo n.k, wakati upinzani wamefundishwa kutukani kwa kadri ya uwezavyo na hapo ndipo utaitwa Kamanda mpambanaji,yaani Ni fulu matusi utafikiri mishipa ya ubongo imekatika
Huko mnafundishwa uchawa tu na wewe umefuzu with flying colours.
 
ccm mmebaki mashoga tupu hamuwez kupambana na wanaume kama chadena mpaka msaidiwe na tume fake na hao polis fake kushinda maana mmebaki nyoronyoro tu.
CCM unashinda kila uchaguzi na itaendeleaa kushinda kila uchaguzi kwa kuwa na Sera na ajenda zinazokubalika kwa wananchi wakati Chadema kimeshindwa hata kujiongoza tu,hakieleweki kinaelekea wapi na kinasimamia Nini, hakieleweki hata Ni Nani msemaji wake
 
labda irashinda njaa kwenye makorido ya mapunga yasiyoweza kupiga kampeni na kushawishi wananchi huko lumumba.
 
labda irashinda njaa kwenye makorido ya mapunga yasiyoweza kupiga kampeni na kushawishi wananchi huko lumumba.
CCM inaongoza kwa kufanya kampeni Safi na za kistaarabu tofauti na nyie machadema mliokosa dira na muelekeo na kuishi Kama watu waliopoteza matumaini ya maisha
 
Utawajali vipi wananchi Kama hata mahali panapotakiwa wafikie pamekushinda kupaboresha? Mamilioni ya Ruzuku na michango mlikuwa mnapeleka wapi? Pesa na michango ya akina Sabodo mlipeleka wapi? Pesa za join the chain zipo mfukoni kwa Nani?

Deal na chama chako, ww tukianza kuuliza michango ya wanaccm na ruzuku zote ni Sawa na maendeleo ya vitu mliokuwa nayo?
 
misambwanda ya ccm mnatafta wanaume chadema kwa taarifa yako chadema haina muda na misambwanda ya majiz ya kura.
Chadema mmejichokea kisera na kifikira, kwa Sasa mmebaki watu wenye mahasira na matusi Kama vile bongo zenu zimepitwa shoti ya umeme baada ya kugundua kuwa watanzania wamewapuuza
 
Kulikuwa na haja gani ya kuandika no zako za simu mwisho wa bandiko?
Tukisema hizi ni njaa na dalili za kujipendekeza tutakuwa tunakosea?

Wewe umeandika na kuleta ujumbe ulipaswa upite kushoto na sio kuacha no kwa lengo la kuonwa na viongoz wako.

Niseme waz tu atakaekuteua wewe nae Hana akili ,watu sahihi wanapimwa kwa matendo na sio kusifia ili wapate ugali ,
Et kijana mzalendo ,kmmk zako
 
Deal na chama chako, ww tukianza kuuliza michango ya wanaccm na ruzuku zote ni Sawa na maendeleo ya vitu mliokuwa nayo?
Huwezi ukafananisha CCM na mavyama Kama Chadema yasiyo na dira Wala muelekeo, chadema Ni mkusanyiko wa wapigaji tu,kazi yao kubwa ni kutafuna kila aina ya sent itakayonukia katika korido za pale ufipa zilizokosa nuru ya muonekano mzuri. Ofisi za chadema Ni mbaya kuliko hata ofisi za wanafunzi, chadema wanazidiwa ofisi na wakatisha tiketi za magari
 
Kulikuwa na haja gani ya kuandika no zako za simu mwisho wa bandiko?
Tukisema hizi ni njaa na dalili za kujipendekeza tutakuwa tunakosea?

Wewe umeandika na kuleta ujumbe ulipaswa upite kushoto na sio kuacha no kwa lengo la kuonwa na viongoz wako.

Niseme waz tu atakaekuteua wewe nae Hana akili ,watu sahihi wanapimwa kwa matendo na sio kusifia ili wapate ugali ,
Et kijana mzalendo ,kmmk zako
Si unaona namna manachama ya Chadema mlivyovurugwa akili zenu? Yaani kichwani mmebaki hewa tu🤣🤣 mnatukana Hadi midomo yenu inanuka utafikiri mmeoza
 
Huwezi ukafananisha CCM na mavyama Kama Chadema yasiyo na dira Wala muelekeo, chadema Ni mkusanyiko wa wapigaji tu,kazi yao kubwa ni kutafuna kila aina ya sent itakayonukia katika korido za pale ufipa zilizokosa nuru ya muonekano mzuri. Ofisi za chadema Ni mbaya kuliko hata ofisi za wanafunzi, chadema wanazidiwa ofisi na wakatisha tiketi za magari

Sijui Umri wako but unaonekana ni mshamba wa mambo mengi ya siasa

Possibly ukawa ni kijana ambae umeanza kuingia kwenye mitandao recently

Uwez kulinganisha ccm na chadema Kwa anything,

Kuanzia umri, Idadi ya wanachama, mamlaka, wizi dhambi na kila kitu

Mara Mia ya chadema hawana Dola, hawana ela, hawana anything but tunawaona wanapambana

CCM mna miaka 60 mko kwenye Dola mpaka Leo mambo ni vile vile

Wizi ni uleule, Uporaji ni uleule Ufisadi wa mali ni vile vile

No maji, No umeme, no Good Road, No uokoaji, No madawa No anything miaka 60

Nǐ aibu kuongea mambo ya ccm
 
Back
Top Bottom