Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Hizi akili za kuamini kiongozi mzuri wa serikali anatoka ndani ya chama ambacho Ni ccm Ni ujuha uliokithiri

CCM pamoja na harakati hizi zote Ni chama pekee kilichounda serikali tangia Mfumo wa vyama vingi uanzishwe katika nchi hii miaka ya 90.
Ni chama ambacho kimezalisha viongozi wasio waadilifu ,Wala rushwa na wasioipenda Tanzania kuliko chama chochote ktk nchi hii.

Ni chama kilichounda serikali ambazo zimeshuhudia utiaji wa saini mikataba mibovu inayoliangamiza Taifa hili mpaka kesho.

Ni chama kilichounda serikali iliyosyindwa kuthibiti mfumuko wa bei, Kuhakikisha wananchi wanakuwa na huduma nzuri za kijamii km afya,maji safi, umeme na Elimu Bora

Leo Chawa Hawa nao wanaohitaji kupata nafasi ili wachumie kwenye matumbo yao wanabaki kusifia uchaguzi ndani ya chama ambacho ndicho Kilichofikisha hapa tulipo.

Ni hatari sana
CCM itaendeleaa kuongoza Daima Milele. Utaipaje Kura chama Kama Chadema kinachoshindia kutafuna pesa Kama mchwa? Chama hata ofisi. Kinashindwa kukarabati?
 
CCM itaendeleaa kuongoza Daima Milele. Utaipaje Kura chama Kama Chadema kinachoshindia kutafuna pesa Kama mchwa? Chama hata ofisi. Kinashindwa kukarabati?
Think out of chadema broo.
Mbona unapambana na chadema sana

Tunahitaji watu huru wasiofungwa na minyororo ya vyama vyao. Toka huko CCM km unataka kuwa mzalendo wa kweli. Ni chama ambacho kina Wala rushwa wengi

Kuwa huru utatoka kijana achana na CCM
 
Think out of chadema broo.
Mbona unapambana na chadema sana

Tunahitaji watu huru wasiofungwa na minyororo ya vyama vyao. Toka huko CCM km unataka kuwa mzalendo wa kweli. Ni chama ambacho kina Wala rushwa wengi

Kuwa huru utatoka kijana achana na CCM
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka
 
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?

Tatizo lako umeingia kwenye siasa juzi

Sabodo alitoa sh ngapi? Join the chain inafika milion 200?

Wabunge 50 ruzuku Kwa mwez inafika milion 100?

Endelea kuandika namba yako ya simu uteuliwe udiwani
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka
Tuambie Sera na ajenda za CCM na ambazo zimetekelezwa 100% bila chembe ya Rushwa
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka


Mkono wako unakushangaaa hayo unavyoandika
 
We umegombea nafasi gani mkuu?
Au unawapigia debe wenzako + uchawa !

Ova
 
Ukosefu wa maji na mgawo wa umeme umeteka zaidi vinywa vya watu..., Kweli CCM Bibi Lao...
 
We umegombea nafasi gani mkuu?
Au unawapigia debe wenzako + uchawa !

Ova
Nawaunga mkono viongozi wenye uwezo wa kutuvusha na kutuunganisha Kama chama,wenye maono na dira ya kueleweka,wasafi kimaadili na wenye kiu ya maendeleo, wazalendo na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea na watakaoungana na mh Rais wetu katika kuwatumikia watanzania kwa utumishi uliotukuka na wakizalendo kwa kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM
 
Uchaguzi ndani ya Chadema huwa haupo maana mwenye kigoda ndio anajuwa nani awe wapi kwa maslahi mapana ya mradi wake maana chama Ni mradi na Mali yake binafsi wa kuendeshea maisha yake aliorithishwa
 
Tulipo Ni pabaya Sana

Tuna vijana wanaotafuta kujaza matumbo yao na hawafikiri Tanzania ya Baadae. Wanaogopa kusema ukweli wanaoshia kusifia tu

Ndio maana mi sitakagi chama chochote Cha siasa ,naogopa kufungwa na minyonyoro ya kusifia hata ujinga wakati uhalisia nauona.
 
Naona tawi la mtandaoni limeanza kazi rasmi sasa. Ee mola wangu tufumbue macho wanao Tanzania, hizi njaa zinatupeleka pabaya.
 
Uchaguzi ndani ya Chadema huwa haupo maana mwenye kigoda ndio anajuwa nani awe wapi kwa maslahi mapana ya mradi wake maana chama Ni mradi na Mali yake binafsi wa kuendeshea maisha yake aliorithishwa
Kauli za watu walioshikiwa akili na lumumba hizi
 
Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna ambavyo Ni ngumu kuizuia CCM mlangoni.

Katika uchaguzi wa ndani ya CCM wa viongozi mbalimbali katika ngazi tofauti tofauti unaoendelea nchini kwote umekuwa Ni gumzo hapa nchini. Mijadala yote ya kisiasa katika vijiwe vyote,mitaa yote,vyombo vyote vya Habari,mitandao yote ya kijamii Ni juu ya CCM na uchaguzi, Ni juu ya Nani kapitishwa na Nani kakatwa na Nani apigiwe kura za Ndio na Nani awe na Subira.

Ni uchaguzi ambao umeviteka vyama vya upinzani hasa chadema na kujikuta Vimesimamisha shughuli zake zote za kisiasa na kujikita kufuatilia uchaguzi wa viongozi wa CCM, kwa kuwa hakuna habari inayovuma kwa Sasa Kama uchaguzi wa CCM, Chadema imegeuka na kuwa Tawi la kuwatambulisha wagombea wa CCm, chadema ndio wamekuwa Kama maafisa habari wa habari za CCM juu ya Nani kakatwa na sababu za kukatwa kwake, chadema kwa Sasa imejikita katika kufuatilia kwa kina kinachoendelea katika uchaguzi huu na kusahau shughuli zao za ndani ya chama Chao

Hii Ni kutokana na Nguvu waliyonayo na wanayokuwa nayo viongozi wa CCm, hii Ni kutambua ushawishi wa viongozi wa CCm katika masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya watanzania,kwa kuwa Hawa ndio wafuatiliaji wa utekelezaji wa ilani ya CCM, Hawa viongozi wa CCm Ndio wenye wajibu wakufahamu ikiwa wananchi wanapata huduma na kuhudumiwa Kama ilivyo ahidiwa katika ilani kupitia uchaguzi mkuu,Hawa ndio wenye ofisi ambazo zimekuwa wazi muda wote na kimbilio kwa waliokata Tamaa au kuonewa au kudhulumiwa au kucheleweshewa haki au kupokonywa haki.


Hawa ndio sauti kwa wasio na sauti na nguvu kwa wasio na nguvu, Hawa ndio unaoweza ukawakimbilia na kupokelewa kwa uharaka,Hawa ndio wanaoweza kumsikiliza mwananchi mnyonge yeyote mwenye shida, Hawa ndio wanaojuwa Hali za kimaisha za watanzania na kuishi nao, Hawa ndio Tumaini la wote,Hawa ndio wanaoweza kumuita kiongozi yeyote wa serikali atoe majibu kwa maswali ya wananchi,Hawa ndio wenye masikio sikivu na macho ya kutazama kila kitu


Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii Daima Milele na Hakuna chama Wala mtu mwenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini ,hayupo na Wala hajazaliwa, Kama huamini Basi ondoka ndani ya CCM uone kama CCM itatikisika au kuteteleka. Hii ndio CCM chama kiongozi , Chama Cha Hayati Baba wa Taifa mwalimu Nyerere, Chama kinachoheshimika ndani na nje ya Tanzania,


Chama mkombozi wa nchi za kusini Mwa Afrika, chama kilichobeba matumaini ya watanzania, chama kinachokubalika na kuaminika na makundi yote ya watanzania,chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka, chama kilicho na misimamo na misingi madhubuti , chama kinachotanguliza maslahi ya Taifa mbele. Ni chama kilicho katika mikono salama ya Mwenyekiti wake Shupavu,Mzalendo na Hodari mh Mama Samia Suluhu Hassan.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627

Kwanini na wewe usigombee?. Ingia field mkuu .
 
Chadema ipi unayoizunguzia wewe? Au hii hii inayoshindwa kupaka hata rangi ofisi zake?

Punguza dharau. CHADEMA haipokei Ruzuku hata kidogo kwa Sasa. Pia haina wabunge Wala madiwani, ukiondoa wachache. Hivyo inapambana yenyewe Kama chama.
 
Back
Top Bottom