Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Punguza dharau. CHADEMA haipokei Ruzuku hata kidogo kwa Sasa. Pia haina wabunge Wala madiwani, ukiondoa wachache. Hivyo inapambana yenyewe Kama chama.
Nimeuliza hapo juu mkuu kuwa mamilioni ya Ruzuku kuanzia 2015-2020 yalikwenda wapi? Vipi kuhusu 2010-2015 pesa za Ruzuku zilikwenda wapi? Mbona hata rangi tu katika ofisi imekuwa shida kupaka na kuboresha? Vipi pesa za akina Sabodo? Vipi pesa za join the chain? Unafahamu zikikusanywa shilingi ngapi? Unafahamu zipo kwa Nani? Vipi pesa za michango ya wabunge wa chadema ya miaka husika? Zipo wapi?
 
Msilete uhuni wenu hapa, mamilioni yote ya Fedha za Ruzuku mlipeleka wapi? Zipo wapi fedha za michango ya wabunge wenu? Zipo wapi fedha za join the chain? Zipo wapi na kwa Nani fedha alizotoa sabodo? Kwanini mnakuwa matapeli kiasi hicho?

Taja hizo milioni na zilitolewa lini?. Umedakia mitandao unaanza kubwabwaja. Umevamia jf kwa spidi na utaondoka kwa spidi. Kumbuka ushauri wa Mzee Mayalla aliokupa siku ile.
 
Nakushauri mkuu kwa nia njema. Ondoa namba hapo. Maana inaleta tafsiri kwamba una nia nyingine zaidi ya hiyo uliyo nayo.
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makala
 
Kwanini na wewe usigombee?. Ingia field mkuu .
Nilishaingia na nikafanya kazi ya kutukuka sana katika kata yangu mpaka uchaguzi mkuu wa 2020 nilikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindooo
 
Hiyo sheria ndio iliwapa uhalali wa kutafuna mamilioni mliyokuwa mnapokea kuanzia 2015-2020 mlipokuwa na wabunge wengi?

Aisee wewe ni mzushi Sana. Hizo fedha zimetafunwaje?. Leta mchanganuo hapa na report ya CAG.
 
Taja hizo milioni na zilitolewa lini?. Umedakia mitandao unaanza kubwabwaja. Umevamia jf kwa spidi na utaondoka kwa spidi. Kumbuka ushauri wa Mzee Mayalla aliokupa siku ile.
Mimi nipo humu kwa kadri Mwenyezi Mungu atakavyojalia uzima na uhai
 
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?

Hizo kebehi zakonkwa CHADEMA kwa kutaka kufurahisha watu fulani ili wakuteu zitakutokea puani. Omba mtaji ujitegemee achana na CHADEMA. CHADEMA huiwezi kwa vimaneno vya mitandaoni utakuja kuaibika siku moja.
 
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?

Hizo kebehi zakonkwa CHADEMA kwa kutaka kufurahisha watu fulani ili wakuteu zitakutokea puani. Omba mtaji ujitegemee achana na CHADEMA. CHADEMA huiwezi kwa vimaneno vya mitandaoni utakuja kuaibika siku moja.
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makala
 
Hizo kebehi zakonkwa CHADEMA kwa kutaka kufurahisha watu fulani ili wakuteu zitakutokea puani. Omba mtaji ujitegemee achana na CHADEMA. CHADEMA huiwezi kwa vimaneno vya mitandaoni utakuja kuaibika siku moja.
Mimi Ni mkulima na naendelea na kilimo
 
Nilishaingia na nikafanya kazi ya kutukuka sana katika kata yangu mpaka uchaguzi mkuu wa 2020 nilikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindooo

Endelea huko, huku jamii forum ondoka. Maana wewe ni Kama upo obssesed na uteuzi na unaona kushambulia CHADEMA ndio njia yako ya kutokea, kiasi kwamba huoni mengine na unataka uteuzi kwa lazima
 
Taja hizo milioni na zilitolewa lini?. Umedakia mitandao unaanza kubwabwaja. Umevamia jf kwa spidi na utaondoka kwa spidi. Kumbuka ushauri wa Mzee Mayalla aliokupa siku ile.
Ndio tatizo kubwa la vimbwenelehi, kwa vile vimejiunga JF juzi kwa special assignment basi vinaona havionekani na kutambulika basi vinaweka namba za simu!
Aweke na picha yake hata mke na watoto kama anao ili ccm wawaandikishe kama Next of Kin
Screenshot_20221119-144051.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makala

Nimekushauri Kama bwana mdogo. Acha kuweka namba zako hapa jf. Mambo ya siasa yasikie tu. Kumbuka hata huko CCM Kuna makundi, siku makundi yakianza kuraruana sijui utajiweka wapi. Ondoa namba Kama haupo kwaajili ya teuzi.
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka

Tumaini kwa richmod, escrow, kagoda, radar ya ndege, EPA etc. Mikopo kila siku lakini maji na umeme unategemea kudra za mvua.
 
Nimekushauri Kama bwana mdogo. Acha kuweka namba zako hapa jf. Mambo ya siasa yasikie tu. Kumbuka hata huko CCM Kuna makundi, siku makundi yakianza kuraruana sijui utajiweka wapi. Ondoa namba Kama haupo kwaajili ya teuzi.
Mimi nitajiweka kwa CCM na Taifa la Tanzania
 
Back
Top Bottom