R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 19, 2024 #41 johnthebaptist said: Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha. Click to expand... hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa.
johnthebaptist said: Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha. Click to expand... hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa.
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,958 Reaction score 9,516 Apr 19, 2024 #42 kipara kipya said: Uchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi! Click to expand... Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka
kipara kipya said: Uchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi! Click to expand... Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Apr 19, 2024 #43 dolevaby said: Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka Click to expand... Mikono na miguu ninayo umaskini uko wapi napanda ndege kila ijumaa hizo tiketi peke yake ndani ya mwezi fanya hesabu mwenyewe!
dolevaby said: Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka Click to expand... Mikono na miguu ninayo umaskini uko wapi napanda ndege kila ijumaa hizo tiketi peke yake ndani ya mwezi fanya hesabu mwenyewe!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 19, 2024 Thread starter #44 Retired said: hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa. Click to expand... ππππ
Retired said: hatoki mtu hapa, kama kete yenu ccm ni hiyo, tfuta nyingine. Mbowe hatoki hapa. Click to expand... ππππ