Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

Kwani Spika Ndugai Job anasemaje kwenye hili?
ChangeTanzania_on_Instagram:_“Namna_sheria_zinavyopita_bungeni_#ChangeTanzania”%22_.jpg
 
Hao waliochaguliwa vyuo vya kati wamshukuru Mungu.
Watasoma diploma kwa miaka 3 watakuwa na sifa ya kuajiriwa kuliko wale waakaomaliza miaka 2 na division one form six huku hawawezi kuajiriwa au kujiajiri.
Binafsi najuta kwenda five na six.

Hii si hoja
 
Hao waliochaguliwa vyuo vya kati wamshukuru Mungu.
Watasoma diploma kwa miaka 3 watakuwa na sifa ya kuajiriwa kuliko wale waakaomaliza miaka 2 na division one form six huku hawawezi kuajiriwa au kujiajiri.
Binafsi najuta kwenda five na six.
Umenena mkuu.ila hii inakua nzuri zaidi kama ulisoma kombi ya science.ukichukua diplomo yako ya electrical,mechanical,civil,clinical officee,pharmact,biomedeical unakua bomba zaid
 
Hao waliochaguliwa vyuo vya kati wamshukuru Mungu.
Watasoma diploma kwa miaka 3 watakuwa na sifa ya kuajiriwa kuliko wale waakaomaliza miaka 2 na division one form six huku hawawezi kuajiriwa au kujiajiri.
Binafsi najuta kwenda five na six.
mimi nahitimu mwezi ujao nimeanza kubet rasmi maana ndo inaniingizia angalau Elfu Tano tano.
 
Haya mambo ya combination yalishapitwa na wakati. Mwanafunzi apewe uhuru wa kuchagua kusoma combination anayoitaka.

Nchi kama Finland mtoto anaruhusiwa kusoma chochote anachokitaka.

Tuanze kubadilika, haya mambo ya combination hayana maana tena kwenye ulimwengu huu unaoenda kwa kasi. Kama mtoto anataka kusoma hkl aruhusiwe, anataka kusoma egm aruhusiwe. Hii ya kulazimishana kwa kigezo cha kufaulu hakina maana. Mtu anaweza kufaulu masomo ambayo hayapendi na anayoyapemda akafeli mtihani lakini haina maana kua hayawezi.

Mimi nilifaulu vizuri sana masomo ambayo sikua nayapenda kabisa, history, English, Biology, Kiswahili na Mathematics, hapo somo nilikua napenda ni Mathematics tu mengine hayo hata sijui nilifaulu vipi, nikachaguliwa heg, nikafika advance nikabadili na nikafaulu vizuri
Nyinyi ndo mnaoongea PUMBA kinoma, yaan nchi yenu bado ipo kwenye competence centered curriculum ( na bado wanasuasua) just suddenly mnataka mshift had Montessori way,,, una akili kweli,,, implementation ya ur current curriculum ni below standard,, shule mbovu,, mwalimu anapewa above 25 student to teach,,, mshahara mbovu,, nchi ina level ndogo ya literacy people and all over the sudden unaropoka tu upuuzi wako[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Ndio maana inahitajika katiba mpya. Serikali hii imebweteka sana, haya maamuzi ni ya kifamilia kabisa haya, lakini bila kujali serikali inaingilia tu na kufanya maamuzi bila kujali japo hisia za watu.

I hate this
Unafikiria na makamasi na sio ubongo
 
Naona hili article wamejibia.. Ila ukweli lazima usemwe kuwa Tamisemi wanakosea sana tena mwaka huu wamewavunja watu mioyo.. Hivi course kama hzo za utalii so zakupeleka MTU aliyepata division 4 ya mwisho.. Maana hata was division iv ya 26 au 27 haitaki hyo course.. Tamisemi achani janjajanja unaua elimu yetu
 
Kwenye madogo kupangiwa vyyuo kwa sana hata mwaka jana ilkua hivi, so mtoa mada usitake kusema JPM asingekubal haya wkt nae akiwepo ilifanyika hii kitu hadi watu tukashangaa.

na mbaya zaid huko kupangiwa kwenda vyuo ni gharama kuliko advance maana huko chuo unakuta kwa mwaka cost ni zaidi ya 1M hilo balaa lake si la kitoto yaani!!
 
Kwenye selform mwishoni kabisa kuna kipengele kinasema "nitakubali chaguo lolote nitakalopangiwa" sijui hili unalizungumziaje mtoa mad!
Always a loophole for emergency escape! Hata HESLB hivyo hivyo kabla ya nusura aliyotoa Mama.
 
Watumie hata akili kidogo, kijana aliyefaulu vizuri masomo ya sayansi unampangiaje history! hao watoto wana ambition zao na haya mambo ya kuwapangia pangia kinyume na matarajio yao ni kuwavunja morale.....sasa hao wapangaji wajiandae kwa wimbi la watoto kuomba uhamisho kwenda kusoma zile tahasusi wanazopenda wao....bull shiit!
 
NIMEONA JUHUDI ZA DHATI KABISA ZA KUMHUJUMU MAMA SAMIA NA SERIKALI YAKE ILI ACHUKIWE NA WATZ!ILI 2025 ASITEULIWE NA CC YA CCM KUPEPERUSHA BENDERA YA KUGOMBEA URAISI!!!!!
NI RAISI MPUMBAVU TU AMBAE ANAWEZA KUISHAURI WIZARA IKAFANYA KITUKO HIKI!!!
 
Mwaka jana alisoma bure kwa kuwa ni maskini, mwaka huu anapaswa kulipa zaidi ya 1 m kulipia chuo. Kuna watoto wameshindwa kuendelea na chuo walikopangiwa kutokana na ufukara. Kuna haja ya kufikiri upya.
Kila mtu apambane na hali yake hatutaki habari tena sijui wewe mnyonge tafuta hela peleka mtoto shule 🤣🤣🤣
 
Tafuta pesa upeleke mtoto shule ya maana usishinde humu JF🤣🤣🤣
 
Hizo combinations hizo, zina mchanganyiko wa laana na baraka. zinauwezo wa kumpitisha mwanafunzi kwenye njia ya mafanikio makubwa katika maisha yake, familia, Jamii, Taifa na hata dunia, lakini pia zinauwezo wa kumpitisha mtu kwenye njia ielekeayo maisha ya hofu na ufukara wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom