Hao waliochaguliwa vyuo vya kati wamshukuru Mungu.
Watasoma diploma kwa miaka 3 watakuwa na sifa ya kuajiriwa kuliko wale watakaomaliza miaka 2 na division one form six huku hawawezi kuajiriwa au kujiajiri.
Binafsi najuta kwenda five na six nilipomaliza form four.
Nilifanya ulofa sana kwa kutaka sifa
Wewe uliyekwenda kusoma diploma moja kwa moja baada ya kumaliza F.IV na mwenzio ayekwenda kwanza F.5&6, mnatofautiana njia tu ya kupitia, lakini all is the same...
Ofcoz, kuna ishu ya muda. Kwamba wewe umetumia miaka 3 kupiga yote mawili Diploma yako + A'Level Sec. Education..
Huku mwenzako katumia miaka 2 kusoma masomo ya A'Level Secondary Education pekee. Lakini atakukuta chuo kilekile kwa ajili ya kuchukua Diploma yake tena wewe ukiwa mwaka wa mwisho...
Kwenye ishu ya ajira hakuna guarantee kuwa wewe utakuwa wa kwanza kuajiriwa/kujiajiri. Hapa ni ishu ya ushapu na uwezo wa kuziona, kuchukua na kuzitumia fursa zilizo mbele yako. Unaweza kuwa wa kwanza kupata diploma yako kwa njia hiyo lakini ukawa wa mwisho kufaidika nayo...
WHY? Ni kwa sababu always; THE END JUSTFY THE MEANS...
Kwa upande wa pili mnatofautiana maarifa mliyopokea. Mwenzako kasoma masomo ya K.5&6 in details. Wewe umeyapata partially. Mwenzio atakuwa na vyeti vitatu CSEE, ACSEE na DIPLOMA, wewe utakuwa na viwili tu CSEE na DIPLOMA...
Huku mbeleni mwenzako (in some circumstances) atakuwa na access rahisi zaidi kujiendeleza kuliko wewe ambaye ktk mazingira fulani may be unaweza jikuta unalazimika kufanya ambacho hukukifanya ktk stage fulani huko nyuma ili upate access fulani ili uwe placed ktk level fulani huko mbeleni...
Hii ni kwa sababu mifumo yetu ya elimu Tanzania kwa kiasi fulani ni uncompromising or not properly coordinated...
But all in all, nyie wote kwa ujumla ni sawa tu lakini kwa kutumia njia mbili tofauti...