Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Basi team Lowasa ambao ni CCM watashinda tena Uchaguzi Mkuu kupitia CCM 2020
 
Kwa hiyo watamsaidia lowasa kushinda uenyekiti chadema wakiwa CCM?
 
Sawa tunangojea aanze kuwapa posho za vikao na nauli za kwenda na kurudi kama ilivokua kwanza
 
Juzi lowassa alinukuliwa akilalamika kuwa watu wake wamekatwa...leo wewe unampinga!!
 
Kwa hiyo tuamini kuwa Lowasa atakwenda kugombea tena urais kupitia CCM 2020? Foolish!
 
Nina wasiwasi na mleta uzi,hata mtu wa kawaida unaweza jua kaweka maandishi tu Ila hajui kaandika nn.
 
maneno ya kujifariji kwa nyumbu haya
 
Mkuu kama 80% ni low-hasa, ina mana na sizonje nae atakuemo? Anyway tupo kwenye vita ya uchumi kwasasa
 
Mkuu kama 80% ni low-hasa, ina mana na sizonje nae atakuemo? Anyway tupo kwenye vita ya uchumi kwasasa
Kuna video humu jf ya walioimba tuna imani na Lowassa , ukiwaona utaunga mkono nilichoandika .
 
Lowasa ana concentrate na Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…