Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Mjomba kwani wewe hujagombea , umeridhika na kugonga meza kila siku ?
 
Unatia aibu kikolo kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri,kwa hiyo hawa wafuasi wa kishinda ndio kutakuwa na jipi jipya?alikuwepo CCM akashindwa leo yupo chama cha mafisadi ndio ataiweza CCM ?CCM ni kina kirefu kaka ,hizo propaganda uchwara za hapa mtandaoni hazitawasidia kupata ushindi huku Kajunjumele ambako huuliza JamiiForums ndio nini?huyu mtu hatujawahi kumsikia........
 
Hahaha hah hahaha ma ccm yanatokwa povu hapo juu hahaha ngoja 2020



Swissme
 
hakuna wa kunikata, wanaotaka nitoke ccm watangulie hizo kauli na majigambo ikiwa pamoja na kuimbiwa wimbo kuwa tuna imani na lowasa vyote havikufua dafu hao waliopo watafanya nini kama walishindwa kumfata lakini hata kama wapo na wameshinda kwa kiasi kikubwa si ndio fursa kwake
 
 
Hakuna ambae angesema kweli, kuwa ni tetesi au kweli, mkuu ulichosema yamkini uko sahihi, kunawatu unaweza kuishi nao ukidhanini wenzako kumbe laaa! Nihatari sana
 
Nikurekebshe kidogo hapo mkuu, CHAMA CHA MAFISADI NI CCM na wafadhili wao na ndio wenye kesi nyingi za ufisadi, nafikiri hapo ulichanganya kidogo. Sijapata kumsikia fisadi kutoka upinzan ambae kapelekwa mahakamani.
 
Unataka kuleta wasi wasi na taharuki kwa watu.Au ndiyo njia ya kuchonganisha maadui?
 
Bavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...
Hivi kwa akili zako za ndezi ,ccm na ukawa wapi wapo vizuri mitandaoni????
 
Kweli ni tetesi tu, maana kama kweli Lowassa ana wafuasi wengi CCM, kiasi hicho kwanini hawakumchagua kuwa rais
Mkuu mshukuru sana lubuva , na uoga wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…