Mungu ameepusha balaa. Angeshinda Brian Mundubile mahusiano ya Tanzania na Zambia yangekuwa ya mashaka sana.Anaandika Malisa GJ
Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa na Brian Mundubike wa NRPUP aliyepata kura 1,856,217 sawa na 38.6% ya kura zote zilizopigwa. Wagombea wengine wamepata chini ya asilimia moja.
Hichilema mwenye umri wa miaka 64 amewahi kugombea Urais wa nchi hiyo mara 5 akishindwa, kabla ya mwaka 2021 kufanikiwa kumwangusha Rais Edgar Lungu aliyekuwa akigombea kwa muhula wa pili. Kwa matokeo ya leo, Hichilema ataongoza taifa hilo kwa awamu ya pili hadi mwaka 2031.
Hata hivyo mwitikio wa kupiga kura haukuwa mkubwa kwani ni watu milioni 4.9 tu waliojitokeza kwenye vituo vya kupiga kura kati ya watu milioni 8.4 waliojiandikisha.
Hichilema ametangazwa mshindi wa kiti cha Urais majira ya saa 9 usiku kwa saa za Zambia sawa na saa 10 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki. Tume ya Uchaguzi nchini humo (ECZ) haijaeleza kwanini imeamua kumtangaza mshindi wa Urais usiku wa manane watu wakiwa usingizini.
Hata hivyo wakati Tume ikitangaza matokeo hayo usiku, mgombea wa upinzani Brian Mundubike amejificha ofisi za umoja wa mataifa (UN) kuomba hifadhi akihofia kukamatwa na Polisi. Jana polisi walimtuhumu kwa uhaini, akidaiwa kusuka mipango ya kuiangusha serikali. Zaidi ya watu 20 walio karibu nae wamekamatwa na kupewa kesi za uhaini.
Pia mapema leo Wizara ya mambo ya ndani nchini humo, imemtangaza Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Mhashamu Trevor Selwyn Mwamba kuwa Mhaini na kwamba atakamatwa na kuunganishwa katika kesi ya kujaribu kuangusha serikali, inayomkabili Brian Mundubike na wenzake.!
Wasi wasi wako tuMungu ameepusha balaa. Angeshinda Brian Mundubile mahusiano ya Tanzania na Zambia yangekuwa ya mashaka sana.
Zambia inatajwa kama taifa la kikristo kwenye katiba yao. Sasa wewe upo Ikwiriri unanuna.Huyu mpinzani alipozingua pale aliposema Zambia ni taifa la kikristo. Huyu mgombea jau sana
Mundubhile ni kichwa cha panzi, angelta shida. Mara anasema Zambia ni nchi ya Kikristu, kwani kuwa Mkristu ina maanisha huwezi kufanya dhambi? Au tukuorodheshee serikali za Kikristu ambazo zimefanya madhambi ya kutisha hapaWasi wasi wako tu
Ova
Maelezo yangu hujayaelewa na wala siyo complexTunazungumzia mahindi unatuma picha za mpunga nami nikituma picha za truck zikipakia mahindi Zambia na kupeleka Nairobi utaelewa chakula mara nyingi ni msimu mwaka huu Tanzania wakivuna sana wanapewa wazambia mwakani wazambia wakivuna sana inakua bei ndogo kwao chakula inavuka mpaka Nairobi hali ya hewa ndio inafanya wapi wavune na wapi wasivune kwa wingi kutokana na kwamba wengi wanalima kwa kutegemea mvua ila Zambia wale waliokimbizwa Zimbabwe ndio wafugaji pale hata Ng'ombe wao wana Lunch za kutosha pia..
HAKUNA mahali Zanzibar inatambulika kama Taifa la Kiislamu. Kinachojulikana ni Zanzibar kuwa na watu wengi wenye Imani ya Kiislamu. Tofautisha hivyo vitu viwili.Kigezo kipi kinatumika kuitambua Zanzibar kama taifa la Kiislamu?
Katiba yao ndio imesema hivyo sio yeye.Huyu mpinzani alipozingua pale aliposema Zambia ni taifa la kikristo. Huyu mgombea jau sana
Unafahamu mtoto mmoja kama sio mkwewe wa Trump ni mmoja wa maafisa waandamizi wa Serikali ya Marekani?Tamaduni za China jamaa kaeleza vizuri sana China unaweza kuwa kiongozi mkubwa na hakuna hata mtu mmoja kwenye familia yako nae akawa huko kwenye serikali todauti na Nchi za Afrika utawaongeza bila vigezo China wana mfumo wao na tamaduni zao ambazo hata chama kimoja kitafata yale matakwa ya Serikali na Wananchi wake.
YesKatiba yao ndio imesema hivyo sio yeye.
Huyu anajifanya hamnazo, anashindwa kuelewa hata hapo Mbalizi tu wanatumia sukari ya Zambia ambayo inauzwa bei ndogo kulikp sukari ya hapa nchini na ni bidhaa bora.Watanzania huwa mnajidanganya sana sijui shida nini aisee Wazambia wanalima mahindi ya kutosha na pia katika mboga mboga wao Samaki wanao wa kutosha mpaka ilifikia kipindi watu wa mbeya wauza samaki walianza kuchukua samaki Zambia baada ya kupigwa marufuku wakakimbilia Mozambique..
Samaki ambae utakula livingstone kwa kwatcha 50 sijui Tanzania utalipia ngapi hao kuku wa kienyeji hawathamini wanawaita chicken village...
Wazambia wanaamini katika supermarket ndio maana Lusaka tu wana malls nyingi sana..
Mkuu, ni kweli mtu yeyote mwenye uwezo anastahili kuchukua nafasi, lakini uwajibishanaji hautakuwepo.Unafahamu mtoto mmoja kama sio mkwewe wa Trump ni mmoja wa maafisa waandamizi wa Serikali ya Marekani?
Je, tatizo la viongozi wa Afrika ni kuwaweka ndugu zao au kuwaweka ndugu wasio na uwezo/vigezo/sifa za nafasi wanazopewa?
Mimi naamini mtu yeyote ambaye ana sifa stahiki za kuwa kwenye nafasi fulani bila kujali uhusiano alionao na kiongozi aliyepo madarakani anastahili kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi na taifa kwa ujumla.
Mpumbavu mamakoUpumbavu ni kipaji.
Kama ana sifa hakuna shida ila mara nyingi watu wanatumia vyeo vyao kuwaweka wasio na sifa mkuu.Unafahamu mtoto mmoja kama sio mkwewe wa Trump ni mmoja wa maafisa waandamizi wa Serikali ya Marekani?
Je, tatizo la viongozi wa Afrika ni kuwaweka ndugu zao au kuwaweka ndugu wasio na uwezo/vigezo/sifa za nafasi wanazopewa?
Mimi naamini mtu yeyote ambaye ana sifa stahiki za kuwa kwenye nafasi fulani bila kujali uhusiano alionao na kiongozi aliyepo madarakani anastahili kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi na taifa kwa ujumla.
Tanzania imefikia watu wanaagiza sausage kutoka Nakonde,samaki na juice..Huyu anajifanya hamnazo, anashindwa kuelewa hata hapo Mbalizi tu wanatumia sukari ya Zambia ambayo inauzwa bei ndogo kulikp sukari ya hapa nchini na ni bidhaa bora.
Tanzania (TZA) and Zambia (ZMB) Trade | The Observatory of Economic Complexity https://oec.world/en/profile/bilateral-country/tza/partner/zmbTunazungumzia mahindi unatuma picha za mpunga nami nikituma picha za truck zikipakia mahindi Zambia na kupeleka Nairobi utaelewa chakula mara nyingi ni msimu mwaka huu Tanzania wakivuna sana wanapewa wazambia mwakani wazambia wakivuna sana inakua bei ndogo kwao chakula inavuka mpaka Nairobi hali ya hewa ndio inafanya wapi wavune na wapi wasivune kwa wingi kutokana na kwamba wengi wanalima kwa kutegemea mvua ila Zambia wale waliokimbizwa Zimbabwe ndio wafugaji pale hata Ng'ombe wao wana Lunch za kutosha pia..
NotedMkuu, ni kweli mtu yeyote mwenye uwezo anastahili kuchukua nafasi, lakini uwajibishanaji hautakuwepo.
Mkwe wa Trump akizingua, Trump hataweza mpeleka mahakamani.. kwa hiyo kukwepa mbanga kama hizo ndio sababu watu hawataki viongozi waweke watu wao wa karibu kwenye serikali
NotedKama ana sifa hakuna shida ila mara nyingi watu wanatumia vyeo vyao kuwaweka wasio na sifa mkuu.
Matatizo ya Afrika mengi ni kwa sababu wanaopewa nafasi hawana sifa ndio maana unaona tuna mali nyingi ila hakuna kitu kinafanyika..
Mwaka jana tulisimamishwa hapo Botswana kulikua na matengenezo ya bara bara kulikua na foleni ya zaidi ya 20 km za magari na mengi ni trucks kutoka Nchi zetu ila ndio hizo masikini tu na ile ilikua masaa machache tu yanayotoka DRC ndio usiseme..