Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
  • "Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE" Hivi hichi kichwa cha habari hakijachakachuliwa kweli? mweeeh
 
Hii barua si ya kupuuza hata kidogo. Nakumbuka kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM walikaa kikao cha mikakati ya kushinda na minutes ziliandikwa na bahati nzuri zilitufikia hapa. Na baada ya hapo tuliona matokeo yake. Mwafrika na wenzio msisiseme kuwa vikao vya namna hii huwa havina minutes.
 
Jamani Inv sio mtu wa Kukurupuka tu, hawezi kuweka kitu humu ndani bila kuwa na Source ya kueleweka, MWAFRIKA, AMA NA BUCKREEF, msipotoshe watu, Hii barua ni ya kweli sijaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE

ikiwa inv anasema

  • Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE
na wewe unasema "hujaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE" una ubongo au matope kwenye kichwa chako?
 
ID ya Edson imesajiliwa March 2009, na ya Kituko imesajiliwa January 2009. Kati ya Edson na Kituko nani mgeni humu JF? Au ulidhani umetumia ID yako ya zamani?

hujanielewa wewe acha kuropoka, rudi kwenye post ya kituko kuna watu kawamention hapo hao ndo nawalenga.

mtakoma octoba 31 ,unapagawa sasa hivi?!!!
 
hujanielewa wewe acha kuropoka, rudi kwenye post ya kituko kuna watu kawamention hapo hao ndo nawalenga.

mtakoma octoba 31 ,unapagawa sasa hivi?!!!

Nina machache kwako:

1) Tumia lugha safi, kuwa mstaarab.

2) Kama Kituko mgeni JF, Edson hawezi kuwa mwenyeji.

3) Nipe ushahidi kuwa nimepagawa kabla ya Oct 31.

4) Kwa vile hunijui, usinihukumu.
 
ikiwa inv anasema

  • Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE
na wewe unasema "hujaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE" una ubongo au matope kwenye kichwa chako?

sijuhi unavyoona kama ni matope ama laa, lakini hapo INVISIBLE kasema HIYO BARUA ni FAke bila kutoa ushahidi wowote, YEYE SIO ALIYEANDIKA, YEYE KAUBANDIKA TU HUMU KWA KWA FAIDA YA WOTE, SASA WEWE MWENYE AKILI KICHWANI THIBITISHA KUWA HIYO BARUA NI FAKE, WE UNAFIKIRI WATU WANAKURUPUKA KUWEKA VITU HUMU, HEBU MTUMIE iNV KITU CHAKO KISICHOKUWA NA UTHIBITISHO UONE KAMA ATAKIWEKA HUMU

katika post zake za mwanzo kwenye hii thread invsible alisema hivi " Tumevumilia mengi lakini kwa hili mtusamehe" IFIKILIE SANA HII KAULI
 
Ooh Mungu tusaidie, uwaondoe hawa wauwaji. Its too much
 

Ulazima ni kuwatisha na kuweka msisitizo kwa wanaoagizwa kuwa haya ni maagizo ya high profiles nchini, bado una mashaka?
 
dah... uchaguzi huu ni wa kihsitoria... hakuna kibaya kama kuwa mwizi na kujua kwamba unaowaibia wameshakugundua... yani unakua unatembea kama umejisaidia hivi
 
Tumieni vichwa vyenu Invisible anamaniisha nini si kubisha tuuuu!! Ukweli ni kuwa hawa jamaaa ni wezi!
 
Could s/he be that stupid to put such a thing in writting? Sory, si mshabiki lakini siamini, Hope it is fake. Cha muhimu ni kuendelea kuwa makini katika usimamizi, hizo mbinu zinaweza kutumika haswa hilo la vituo hewa. Tuwe makini tu..
 
There are currently 435 users browsing this thread. (128 members and 307 guests)

Sasa kama hali imeshekuwa hivyo mnaenda kupiga kura ya nini?
....and what is your point?
 
Ivesibo anatumiwa kuondoa post na kuweka zile ambazo wanataka ameondoa nyingi na hii kaiweka mwenyewe baada ya kukolomea na Vibaraka wa Malaika JK kaibadili jina, halafu nyie mnarumbana na kutukanana. Shauri yenu.
 
ngoja nikachape gongo langu Bugarika, hakuna mpango hapa.
 
Ivesibo anatumiwa kuondoa post na kuweka zile ambazo wanataka ameondoa nyingi na hii kaiweka mwenyewe baada ya kukolomea na Vibaraka wa Malaika JK kaibadili jina, halafu nyie mnarumbana na kutukanana. Shauri yenu.

Invisible anatumiwa na nani? Vibaraka wa Malaika wa JK umejuaje kama wapo, ulikuwa mmoja wao ukaasi?

wewe ni uzushi Kama huna majibu ya maswali haya
 

pamoja na yote vyombo vya habari vimeenda kumuhoji Mkurugenzi juu ya barua hii amekosa majibu,na taarifa ya huakika nakala ya barua hii imekutwa kwa mwanadada aliyekuwa katibu wa chadema jimbo la nyamagana ambaye naye amehamia ccm.WATANZANIA TUMEKUWA WATU WAKUPUUZA MAMBO NDIYO MAANA TUMEFIKIA HAPA TULIPO LEO.

Tukumbuke hakuna kitu kinachotolewa taarifa kuhusu CCM kina semekana ni kweli,yapo mengi tuliyowatuhumu na wamekuwa kimya.
 
Hi!
Wewe ndiyo wachekesha kweli, hivi tangu lini CCM waliwahi kuwa intelligent! Mambo yao kila wakati ni hivyo hibyo tu, hakuna aliye makini. Kama wangekuwa makini kweli Tanzania ingekuwa inafanana hivi? Tungekuwa mbali. Hawa ni wachuuzi tu ndugu yangu, wala siyo wa kudhaniwa kuwa ni watu wa viwango vyovyote! They are always blatantly complacent. Chukulia mfano wizi wa EPA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…