Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
  • "Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE" Hivi hichi kichwa cha habari hakijachakachuliwa kweli? mweeeh
 
Hii barua si ya kupuuza hata kidogo. Nakumbuka kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM walikaa kikao cha mikakati ya kushinda na minutes ziliandikwa na bahati nzuri zilitufikia hapa. Na baada ya hapo tuliona matokeo yake. Mwafrika na wenzio msisiseme kuwa vikao vya namna hii huwa havina minutes.
 
Jamani Inv sio mtu wa Kukurupuka tu, hawezi kuweka kitu humu ndani bila kuwa na Source ya kueleweka, MWAFRIKA, AMA NA BUCKREEF, msipotoshe watu, Hii barua ni ya kweli sijaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE

ikiwa inv anasema

  • Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE
na wewe unasema "hujaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE" una ubongo au matope kwenye kichwa chako?
 
ID ya Edson imesajiliwa March 2009, na ya Kituko imesajiliwa January 2009. Kati ya Edson na Kituko nani mgeni humu JF? Au ulidhani umetumia ID yako ya zamani?

hujanielewa wewe acha kuropoka, rudi kwenye post ya kituko kuna watu kawamention hapo hao ndo nawalenga.

mtakoma octoba 31 ,unapagawa sasa hivi?!!!
 
hujanielewa wewe acha kuropoka, rudi kwenye post ya kituko kuna watu kawamention hapo hao ndo nawalenga.

mtakoma octoba 31 ,unapagawa sasa hivi?!!!

Nina machache kwako:

1) Tumia lugha safi, kuwa mstaarab.

2) Kama Kituko mgeni JF, Edson hawezi kuwa mwenyeji.

3) Nipe ushahidi kuwa nimepagawa kabla ya Oct 31.

4) Kwa vile hunijui, usinihukumu.
 
ikiwa inv anasema

  • Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE
na wewe unasema "hujaona mtu wa kunishawishi kuwa hii barua ni FAKE" una ubongo au matope kwenye kichwa chako?

sijuhi unavyoona kama ni matope ama laa, lakini hapo INVISIBLE kasema HIYO BARUA ni FAke bila kutoa ushahidi wowote, YEYE SIO ALIYEANDIKA, YEYE KAUBANDIKA TU HUMU KWA KWA FAIDA YA WOTE, SASA WEWE MWENYE AKILI KICHWANI THIBITISHA KUWA HIYO BARUA NI FAKE, WE UNAFIKIRI WATU WANAKURUPUKA KUWEKA VITU HUMU, HEBU MTUMIE iNV KITU CHAKO KISICHOKUWA NA UTHIBITISHO UONE KAMA ATAKIWEKA HUMU

katika post zake za mwanzo kwenye hii thread invsible alisema hivi " Tumevumilia mengi lakini kwa hili mtusamehe" IFIKILIE SANA HII KAULI
 
Ooh Mungu tusaidie, uwaondoe hawa wauwaji. Its too much
 
Mkuu Inv - Hii barua inanipa mashaka, mbona haina muhuri? Halafu majina yaliyotajwa ni mazito, ulazima wa kuyaandika majina kwenye barua sijauona. Mbona haina hata Kumb. Na.? Mhhhhhhh. Labda kama huyo msimamizi awe ameamua kujitoa muhanga!!!!!!!!!!!!!!

Ulazima ni kuwatisha na kuweka msisitizo kwa wanaoagizwa kuwa haya ni maagizo ya high profiles nchini, bado una mashaka?
 
dah... uchaguzi huu ni wa kihsitoria... hakuna kibaya kama kuwa mwizi na kujua kwamba unaowaibia wameshakugundua... yani unakua unatembea kama umejisaidia hivi
 
Tumieni vichwa vyenu Invisible anamaniisha nini si kubisha tuuuu!! Ukweli ni kuwa hawa jamaaa ni wezi!
 
Could s/he be that stupid to put such a thing in writting? Sory, si mshabiki lakini siamini, Hope it is fake. Cha muhimu ni kuendelea kuwa makini katika usimamizi, hizo mbinu zinaweza kutumika haswa hilo la vituo hewa. Tuwe makini tu..
 
There are currently 435 users browsing this thread. (128 members and 307 guests)

Sasa kama hali imeshekuwa hivyo mnaenda kupiga kura ya nini?
....and what is your point?
 
Ivesibo anatumiwa kuondoa post na kuweka zile ambazo wanataka ameondoa nyingi na hii kaiweka mwenyewe baada ya kukolomea na Vibaraka wa Malaika JK kaibadili jina, halafu nyie mnarumbana na kutukanana. Shauri yenu.
 
ngoja nikachape gongo langu Bugarika, hakuna mpango hapa.
 
Ivesibo anatumiwa kuondoa post na kuweka zile ambazo wanataka ameondoa nyingi na hii kaiweka mwenyewe baada ya kukolomea na Vibaraka wa Malaika JK kaibadili jina, halafu nyie mnarumbana na kutukanana. Shauri yenu.

Invisible anatumiwa na nani? Vibaraka wa Malaika wa JK umejuaje kama wapo, ulikuwa mmoja wao ukaasi?

wewe ni uzushi Kama huna majibu ya maswali haya
 
CCM wajanja kweli kweli, wamewaingiza CHADEMA kichwa kichwa kwenye barua ambayo ukisoma kidogo tu unagundua wazi ni HOAX.

Mwambieni Dr. Slaa aiongelee majukwaani.

Ni yale yale ya Tunduma na lorry la karatasi za kura.

Ila Watanzania kuweni macho. Mauaji ya Rwanda na hata Kosovo yalianza kwa uvumi ambao baadaye ilikuja julikana kwamba haukuwa na ukweli. Wakati huo ilikuwa too late na watu walishaanza kuchinjana.

Jiandaeni kupiga kura kwa amani na kupunguza pressure na stress za kwenye JF.

pamoja na yote vyombo vya habari vimeenda kumuhoji Mkurugenzi juu ya barua hii amekosa majibu,na taarifa ya huakika nakala ya barua hii imekutwa kwa mwanadada aliyekuwa katibu wa chadema jimbo la nyamagana ambaye naye amehamia ccm.WATANZANIA TUMEKUWA WATU WAKUPUUZA MAMBO NDIYO MAANA TUMEFIKIA HAPA TULIPO LEO.

Tukumbuke hakuna kitu kinachotolewa taarifa kuhusu CCM kina semekana ni kweli,yapo mengi tuliyowatuhumu na wamekuwa kimya.
 
Naomba kuwaambie Nyie nyote Mlioko hapo Chini.
Hii barua inaweza kuwa imeandikwa na huyu kabwe Kweli.
Lakini inaweza kuwa na maana beyond the content.
Sidhani kama hawa CCM wako chini kiasi hiki Kujipa kesi, Na kutengeneza ushahidi kwa Mpinzani. no way!
Things like these cannot be put in writing. And if that is the case, zingesambazwa kwa siri sana, Labda Jk angepeleka kwa wahusika Mwenyewe.
Hii barua hatuwezi kuiangalia Beyond the Content?
Why the hell did they put this in writing?
Hi!
Wewe ndiyo wachekesha kweli, hivi tangu lini CCM waliwahi kuwa intelligent! Mambo yao kila wakati ni hivyo hibyo tu, hakuna aliye makini. Kama wangekuwa makini kweli Tanzania ingekuwa inafanana hivi? Tungekuwa mbali. Hawa ni wachuuzi tu ndugu yangu, wala siyo wa kudhaniwa kuwa ni watu wa viwango vyovyote! They are always blatantly complacent. Chukulia mfano wizi wa EPA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom