Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

Wewe umetumwa kuleta chuki zako binafsi dhidi ya Ask Gwajima sio....haya endelea kutunisha misuli ya nyama itapasuka bila huruma.
 
Wewe na hao wabunge hamna tofauti ni wale wale tu. Hebu na wewe thibitisha Gwajima alipokosea
Gwajima amekosea kuropoka kuwa mama Samia kapokea hongo kutoka kwa mabeberu kuingiza chanjo feki nchini ili kuwaua watanzania. Na pia kakosea kusema kwamba mama Samia aliigiza kuchanja kumbe hakuchanja. Wewe kwa uelewa wako haya sio makosa?
 
Wambie waliokutuma wajibu hoja za Gwajim a waache blaablaa na kujipe dekeza kwa Raise wetu,
 
Wewe umetumwa kuleta chuki zako binafsi dhidi ya Ask Gwajima sio....haya endelea kutunisha misuli ya nyama itapasuka bila huruma.
Wewe ni nani hadi useme haya mataputapu mkuu? Mwacheni Gwajima avune alichopanda. Kama wewe ni mmoja misukule wake, nenda kanisani jumapili ijayo ukamlambe miguu tapeli mwenzako.
 
Wambie waliokutuma wajibu hoja za Gwajim a waache blaablaa na kujipe dekeza kwa Raise wetu,
Wewe Gwajima aliyekutuma mbona humtetei au unapobwabwaja hivi ndipo unamtetea?
 

Issue ya Gwajima is no issue. Ujinga wa mtu hauondolewi kwa kutumia vyombo vya dola. Serikali itumie wataalamu wake kutoa kile inachoamini kuwa ndiyo elimu sahihi. Kila nchi iliyostaarabika inafanya hivyo, haitumii mabavu!

Bunge na Serikali wajifunze kustahimili mawazo kinzani . USA ingekuwa na approach ya kipuuzi kama yao, basi American conservative talk show hosts wote sasa hivi wangekuwa gerezani kwa misinformation and disinformation campaign wanayoiendesha kuhusu chanjo, ambayo imechangia wafuasi wengi sana wa Trump kukataa chanjo na matokeo yake ndio waliofurika ICU kwa COVID-19.
 
Nakubaliana na wewe. Kinachonishangaza sijui watanzania elimu yetu ni ya namna gani...mimi ni mfanyakazi mbali ya Basic Salary yangu kuna sitahiki zingine kama house rent allowance nk. vinaunganishwa na mshahara wangu na kukatwa kodi. Kwahiyo Mhe. Jerry Silaa ana hoja ya msingi kwamba zile posho wanazopata wabunge nje ya mshahara wao zijumuishwe na kukatwa kodi kama wafanyakazi wengine wa umma na binafsi. Jiulize, kama mbunge anapewa posho kwa ajili mishahara ya wasaidizi wake je, akishawalipa PAYE yao anaipeleka TRA au inakuwaje?

PAYE, short for Pay-As-Your-Earn, is a Tanzanian withholding tax applied on taxable incomes of applicable employees. Every employer in Tanzania is required, by law, to deduct the tax from an employee's taxable salaries or wages and submit such deductions to the Tanzania Revenue Authority

Ndio maana Basic Salary na sitahiki zote ni mapato kutoka kwa mwajiri wako ni lazima yakatwe kodi. Kinachonisikitisha sheria zipo lakini watanzania wengi hawajui hii PAYE inapatikaje, Pathetic. Hivyo basi kama hizo posho zingine za wabunge hazikatwi kodi basi ni wakati mwafaka kubadili sheria iliyopo na kuanza kukatwa kodi kama wafanyakazi wanavyokatwa posho za mafuta ya gari na posho ya kwa ajili ya pango (rent).
 
Askofu katibua mapepo uliyonayo si kwa chuki hii ya wazi kwake....Angalia usijitwalie laana bila kujua!
 
Kwanini unaiita misinformation na disinformation? You are just a fun of demos ndiyo maana...Elewa kuwa wote hao wana tag of war kwakua conservative wanapoteza uhalali wa wealth and power yao kwakua wengi wao ni ndiyo founders of that country baada ya kukimbia Roman empire enzi hizo ilivyojipatia nguvu kwaku merge two powers i.e dini na ufalme....Kisha globalists ambao wengi wao ndiyo wamo ndani ya demos na sponsors wao hao multinationals corporates wanataka kuja na global reset ili kuondoa hizi divisions zinazowazuia ku consolidate wealth and power i.e independent countries....Sisi majani huku tunatikisika tu then here comes mmatumbi unatuaminisha eti ni mis and dis information seriously? Get your facts right...All of them are playing games over this world na hakika tunaburuzwa tu na hili gonjwa lao lililojazwa siasa na kufunikwa na kifuniko cha dini zisizo na macho ya kiroho
 
Kwa mara nyingine tena, suala la Slaa na Gwajima limedhihirisha udhaifu mkubwa wa Bunge la Ndugai na uwezo mdogo sana wa Spika mwenyewe.
 
Gwajima is right on which grounds? Please can you substantiate your statement?
He is right we do not know for sure what constitute the chanjo na hakuna haja ya kuingiza watu wote yet only less than 4% ndiyo ambao hawaponi wanapo pata ugonjwa...
 
Ndo nini ulicho andika atuchanjwa nenda kamwambie aliyekutuma
Tuweke clip ya mahojiano kati ya kamati Na Gwajima ili tusikie . Je ulize kwa nini wanaogopa kuweka clip za mahojiona.
 
Umeongea vizuri juu ya slaa ila kwa gwaji Ndio umeteleza hata yeue yupo ok
Jambo la chanjo hadi sasa hata Mimi naliona Kama Bado Ni dillema tu nadhani hata dunia yote bado haina uhakika na chanjo hizo
Na ukitaka kuthibitisha hili fuatilia habari za chanjo na maambukizi mapya ya covid ulaya hapo ndipo utakapoona gwajima ana reason
 
Adhabu zote kwa hao Wabunge hazina msingi kwani zinaficha ukweli.

Kuhusu Slaa, uchambuzi wako ni sahihi. Bunge lilipaswa kusema ukweli kuhusu mapato ya Mbunge (mshahara, posho, nk), ambayo hata Naibu Spika alijikanyaga kuyaelezea ITV, kipindi cha dakika 45.

Kama ulivyolitaka Bunge kueleza usahihi wa mapato ya Mbunge, vivyo hivyo lingeeleza ukweli kuhusu ufanisi na usalama wa chanjo kwa takwimu. Na suala la chanjo linaendelea kujadiliwa duniani kote.
 

Ukisema kitu ambacho sio kweli (wewe ukidhani ni kweli) ni misinformation na ukifanya misinformation ambayo unajua ni misinformation ni disinformation (i.e., willful misinformation)!

Vipo vitu vingi ambavyo conservative talk show hosts wanavisema ambavyo ni uongo na wakati mwingine hata wao wenyewe wanajua ni uongo. Kwa mfano, kusema kwamba mtu aliyechanjwa akiweka kipande cha chuma kwenye sehemu ambayo alichomwa ile sindano ya chanjo, kile kipande kinanaswa kama vile vipande vya chuma vinaswavyo na sumaku, sio kweli.
 
Gwaji boy anapaswa aketi chini a recall yaliyo wahi kuwa kuta wenzie walipo jifanya wao ni zaidi ya serikal ni kitu gan kiliwakuta ..mfano ktk awamu ya tano pengo alikutana na shubiri akanyoosha mikono juu.....

Lkn pia Lni muhimu kujiuliza Je.ni kweli Gwajima alikuwa na intention ya kuwa mwanasiasa ? Usikute ali pewa tu msukumo na mtu mmoja huko nyuma ?
 
Wazanzibar wameambiwa hakuna kwenda kuhiji mpaka wachanje upya. Chanjo waliochanjwa awali haitambuliki huko waendako
 
Chanjo,chanjo,chanjo! Taifa mnajazana kwa maelfu bila hata mask, and no social distance.
Kuna kitu hakiko sawa mahali, Gwaji yupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…