Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

Like serious, bunge linaacha kujadiri mambo ya msingi wanamjadiri Gwajima na slaa tena kwenye jambo la hiari !!?
Duh hii ndo Tz!
Unawajumuisha kapu moja ?!! 😲😲

Umefuatilia vya kutosha?!!

Yaani bado tu unalaumu ilihali wamehukumiwa kwa makosa mawili tofauti?!!!
 
Kamati ilidai katika kumuhoji alishindwa kudhibitisha ukweli wa yale aliyokuwa anayasema. yaan evidence hana.

swali alikuwa anafanya for what?
Ana macho lakini HAONI...

Ana masikio lakini HASIKII....

CCM IMFUKUZE GWAJIMA...

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Gwajima huwezi kumwelewa wewe akili kisoda!
 
Benchmark ya huo ukweli ni nini? Kwanini wewe uuite ukweli na wakwao uuite uwongo kama siyo kuwa fanatic?

By the way kweli ina roho ya mtu na uumbaji wake hizo za kwetu ni facts tu ambazo zipo bound to change kama ambavyo issues za corona zimekuwa zikibadilika with time....Usipende kuwa bendera fuata upepo...Za kuambiwa changanya na zako. Mnaamini sana visivyoaminika kama hao wenzetu ambao wamejipa nafasi ya daraja la kwanza la binadamu na wengine kama wewe mkakubali kuwa ndivyo...
 
Hii kitu ndi mtangazaji alipaswa amhoji mh.Tulia kwenye kipindi cha dk 45, ndo maana tunasikitika kutokuwepo kwa Farhia Middle.
 
Ujinga sana ,unafikiri ikiwa wewe ni Rais basi uko sawa, viongozi wangapi duniani wanaangamiza wananchi wao,
,for me Gwajima is right
Umebugi.For me bunge halipo sahihi ingawa ata Gwajima hayupo sahihi kabisaa
 
I stand with Gwajima!
Japo mi si muumini wake!

Ila Hakuna marefu yasiyokua na ncha!
Slaa ana kosa gani?
Viongozi hawapendi kuambiwa ukweli?
He did not prove his allegations? For instance the scientific proof that the vaccine is dangerous. the allegations about our President has been bribed and many more!!!!!
 
Fact. Wabunge hawa wa CCM walitukosea sana walipotunga sheria ya kukata kodi posho lakini posho za wabunge wakaziondoa kwenye makato ya kodi. Inauma sana.
Hili nalo neno!!! Wanadai wanalipa kodi kumbe posho zao hazilipiwi kodi. Sisi posho lazima zichanganywe na mshahara halafu kisu kinapita kinakata lakini wao hapana!!!! Hii ni "animal farm" kabisa!!!!! Wale wakongwe wanaelewa nini kilitokea kwenye shamba la wanyama. Wale watoto na wadogo zetu mkigoogle tu "animal farm" mtaweza kusoma hii hadithi.
 

Facts are facts; they aren’t debatable! Wewe mwenyewe fanya experiments zifuatazo:

1. Kama umechanja, weka ufunguo pale ulipochomwa sindano ya chanjo ili uone kama ufunguo utanaswa na sumaku inayodaiwa kuwepo kwenye chanjo.

2. Weka bulb pale ulipochomwa sindano ya chanjo ili uone kama kweli itawaka kama inavyodaiwa.

Kama hujachanja, muombe mtu aliyechanja afanye hizo experiments.

Yatumie matokeo utakayoyapata kuamua wewe mwenyewe whether or not madai yanatolewa ni ya kweli.

Unatumia energy kubwa kunihukumu wakati hakuna mahali popote nimetoa msimamo wangu kwamba chanjo ni salama au sio salama. Sijui basis ya hukumu yako ni kitu gani. Whatever the case may be, unafanya makosa yaleyale ya Ndugai & the Gang ya kudhani kwamba wanachoamini wao ndio sahihi; wale wanaoamini tofauti na wanachokiamini wao wako wrong!
 
Huyo Gwajima wamemuacha tuu maana ni mwehu.
 
Kijana wa ajabu sasa wewe, hivi unaamini bado kuwa mfumo wetu wa kuendesha serikali unatokana na wabunge. Ukweli huu utakuuma sana, mipango YOTE inayohusu jimbo lako inapangwa na kufanikishwa na serikali kuu (si hata serikali ya mtaa)!! So kuwepo kwa mbunge au kutokuwepo hakusaidii kitu. Ulishawahi kumsikia waziri au naibu waziri au waziri mkuu akizungumza bungeni kuhusu jimbo lake?? Je huko hawana mahitaji??

Bajeti yetu hupangwa na serikali na kuletwa kuwa sheria, kisha serikali huanza kutekeleza au huacha kutekeleza. Wabunge ni wala bata tu!!
 
Wa ajabu mama yako
 
Wabunge nao ni wezi tu hasa hawa wa ccm na kama maslahi yao yakiguswa huwa wanaungana sana kutetea ujinga kama kweli mishahara yao inakatwa Kodi wathibitishe Kwa vitendo na document zote tofauti na hapo ni majizi tu
 
Huyo Gwajima wamemuacha tuu maana ni mwehu.
Hebu tufanye SUBRA tuone kama this coming Sunday ataongelea tena mambo ya kamati kwenye kanisa lake,halafu tunaweza kum judge kama ni mwehu au laah.
To the best of my knowledge this man is good upstairs.
 
Gwaji apigwe marufuku kuhubiri baada ya kuvuliwa uanachama.
 
Am not fanatic, nani ka kwambia mimi naamini hayo ya mtandaoni ya commoners...I know deeper than those petty things...Ukiwa na facts acha zijitete usijitete nafsi yako...

Mimi sijakuhukumu unajihukumu mwenyewe kwakua huamini katika unayoyasema...

Commoners wana express a genuine fear, but they have a point even though they cannot come up with facts...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…