Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Chaneli kama hizi huwezi kuzipata kama haupo kwenye CHAIN. Chaneli utakazisikia ni za forever living na wale wazee wa GOODMORNING!!Kinachoniuma ni kwamba hizi Chanel zinanipita kushoto yaan.
Nilikuwa na wazo kama lako. Hii issue ikipata script writer mzuri na mtaji wa kutosha basi itakuwa bonge la movie.Hii itengenezewe movie kabisa ya oil heist in kigamboniππ
Wabongo wataweza wapi netflix πLakini waigizaji wasiwe wabongo.. Ngoja nitakupa script
waadishi wenyewe kina nani siku hizi?! wengi wao wamekuwa "ndumilakuwili" baadhi wanaendekeza tumbo.Yaani hii habari ingekuwa Kenya waandishi wangeweka kambi kbisa ila Tz hili litapita
Tanzania hakuna waandish wa habari period
Waandishi wenyewe sahv wa kibongoYaani hii habari ingekuwa Kenya waandishi wangeweka kambi kbisa ila Tz hili litapita
Tanzania hakuna waandish wa habari period
Hii habari inaweza kuishia humu humu jfwaadishi wenyewe kina nani siku hizi?! wengi wao wamekuwa "ndumilakuwili" baadhi wanaendekeza tumbo.
Changamoto ni connection na siyo Mtaji,kuna watu wako na mitaji yao,lakini wanaishia kwenda kuchukua magunia ya mchele huko Kyela!!Kimyakimya sasa.. Changamoto mtaji
Ungese mtupu yaaniWaandishi wenyewe sahv wa kibongo
24/7 wako kwenye mambo ya umbea,nani kafumaniwa nani anatembea na nani....
Makanjanja tupu
Ova
Wabongo wataweza wapi netflix [emoji2]
Episode oneNilikuwa na wazo kama lako. Hii issue ikipata script writer mzuri na mtaji wa kutosha basi itakuwa bonge la movie.
Kuna yule mkenya wa jicho pevu,mohamed saidUngese mtupu yaani
Yule jamaa ni very professional yaani movie mpaka inaisha unaionaKuna yule mkenya wa jicho pevu,mohamed said
Anafanya documentary sana na za uchunguzi wa hali ya juu
Sasa waandishi wetu wengi ni rubbish kabisa
Ova
Ungekuwa kigamboni,kurasini michongo hiyo ya mafuta inapigika sanaKinachoniuma ni kwamba hizi chanel zinanipita kushoto yani.
Sana,wakwetu huku wakina PM wakipenyezewa bahasha tu wanapiga kimyaYule jamaa ni very professional yaani movie mpaka inaisha unaiona
Nimecheka sanaChaneli kama hizi huwezi kuzipata kama haupo kwenye CHAIN. Chaneli utakazisikia ni za forever living na wale wazee wa GOODMORNING!!
πππ tatizo ni resources za kutengeneza hiyo movie. Kutengeneza movie ya kisasa inahitajika pesa ndefu sana. Pesa itakayokuwezesha kupata vifaa vya kisasa kabisa na actors wazuri wenye kipaji.Episode one
Anaonekana tajiri mmoja yuko ofisini anasoma magazeti mara anakutana na habari ya watu waliokamatwa wakiiba mafuta kwenye nyumba moja mtaani..hao walitoboa bomba na kujiunganishia..anatabasamu na kuendelea na habari nyingine
Miezi sita baadae anaonekana kwenye ofisi yake akisoma magazeti, anakutana na habari kama ile ya wizi wa mafuta lakini safari hii ni upigaji mkubwa zaidi tena mpigaji akiwa ni tajiri aliyeibuka ghafla.. Anamfahamu kiasi , ananyanyua simu kumpigia lakini inaita bila kupokelewa...
Itaendelea